Uwekezaji kwa Mr kuku

Uwekezaji kwa Mr kuku

bubblymolly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2019
Posts
499
Reaction score
714
Habari zenu wakuu,

Katika pitapita zangu kwenye mtandao wa Instagram ninekutana na tangazo la Mr Kuku la kukaribisha wawekezaji, ambapo kiasi utakachowekeza utapata mara mbili yake baada ya miezi 6.

Nmejaribu kuuliza na kutafakari mwenyewe sijapata majibu nmeona vyema nililete kwenu kwa ufafanuzi zaidi.

1. Is this legit?
2. Incase wanapata loss na wewe uliye-invest utapata bado ile double?
3. Waliowahi kuinvest kwake naomba experience yao tafadhali.

Ntashukuru kama mta-avoid kebehi, matusi na masihara. Asanteni
 
Na yupo mwingine ,, mmoja kigamboni wingine mbweni niliwasikiliza sana nikawapigia simu ila picha za mradi + majibu yao sikuridhika nayo hela yangu ikae tu bank wakate makato yao mwisho wa mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu,

Katika pitapita zangu kwenye mtandao wa Instagram ninekutana na tangazo la Mr Kuku la kukaribisha wawekezaji, ambapo kiasi utakachowekeza utapata mara mbili yake baada ya miezi 6.

Nmejaribu kuuliza na kutafakari mwenyewe sijapata majibu nmeona vyema nililete kwenu kwa ufafanuzi zaidi.

1. Is this legit?
2. Incase wanapata loss na wewe uliye-invest utapata bado ile double?
3. Waliowahi kuinvest kwake naomba experience yao tafadhali.

Ntashukuru kama mta-avoid kebehi, matusi na masihara. Asanteni
nenda ofisi kwao mkaandikishane weka mkataba wa kisheria uwe na uhakika wa kupata hela yako
 
Ebwana hata mm nimewacheki lakini nahitaji kujiridhisha ili nikawekeze nao mana biashara nzuri hii
 
Wabongo bwana kunywa bia kwa laki saba usiku mmoja wanaweza..ila kuwekeza laki saba kwenye biashara mtihani..ukiona 700k ngumu kuinvest basi wewe sio mfanyabiashara
Kuinvest wapi? Ni bora anaekunywea pombe kuliko kutapeliwa. Hii miradi imekaa ki pyramid scheme mwisho wa siku watu watalia. Due diligence ya hali ya juu inatakiwa ufanyie kazi ikiwa ni pamoja na kujua wamesajiliwa, na wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria. Vinginevyo ni upumbavu kuwekeza kwao bora ukale supu au uhonge
 
Wabongo bwana kunywa bia kwa laki saba usiku mmoja wanaweza..ila kuwekeza laki saba kwenye biashara mtihani..ukiona 700k ngumu kuinvest basi wewe sio mfanyabiashara
Si bora anywe hizo bia, ajue kabisa ni pesa yake ametumia kuliko, ku invest kwa wahuni??! Yaani eti kwa kuwa mimi ni mfanya biashara, niwe mjinga tu ku invest, hata kwenye investment za kitapeli!!!??
 
yale yale ya jamaa fllan walikua kule ukonga wanaitwa NAMAINGO.
halafu huyu mista hen yy kweye tangazo lake kamuweka yule mama anasema yy ni askari polisi, ningekua mm ndio Siro ningekua nishamfuta kazi,.
 
Ivi yule mama ni asikari kweli ama ni magumashi ya kuvutia wateja
 
Back
Top Bottom