Chief Masta
Member
- Feb 5, 2022
- 11
- 23
Jana nikapost kuhusu watu ambao wamewekeza kwenye BE FORWARD NOW ili kuhakikisha kama kweli wananufaika au lah...!
Kuna raia wamezomea, wengine wakasema dogo utatapeliwa, n.k ila kuna akili ikaniambia kijana wewe ni mwafrika bhana na ili mwafrika aamini mpaka aguse, nikaamua kuwa Thomaso nikawekeza dollar mia tano (Tsh 1,250,000) ili kutest mitambo.
Leo nikaomba withdrawal ya kamisheni ambayo ni dollar 9 mida ya kumi jioni, ombi limekuwa.pending mpk nikakosa usingizi nikajua labda nimeliwa ila muda huu jaona muamala unasoma ni

Nilichojifunza ni kwamba ili uweze kufanikiwa, hutakiwi kuogopa risk, ninaamini mpaka siku 150 zinaisha basi ntakuwa nimetengeneza profit ya maana Insha'Allah
Here are my s.shots below
View attachment 2186653View attachment 2186652View attachment 2186654