Bila shaka upande tunaouangalia ndio kuna zile nyumba za wafanyakazi wa Park na familia zao. Zamani walikuwa wakikatiza kwa miguu kutoka barabara ya lami (Tanzam highway). Simba walikuwa wanawafanyizia kinoma. Siku hizi inabidi wafike getini wasubiri gari la kuwapeleka huko.