Uwajibikaji ni tusi kwa Tanzania. Nani amwajibishe nani wakati mgao umegeuka sehemu ya maisha. Laiti wangewajibishwa watu walioleta madudu kama Richmond (Lowassa) na IPTL (Kikwete). Lakini nani atamwajibisha nani wakati wote ni wale wale? Wabunge wa upinzani walishashupaa sana juu ya hili na kuzimwa na magamba ambayo ni mengi bungeni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.