Uvutaji bangi wakithiri chuo cha DIT Dar

Acha unoko wewe...ukitaka wanywe viroba?
 
achana na maisha ya watu fanya yako.ifm pale kuna chobisi inaitwa bakchaa.ni pembeni tu ya makao makuu ya magereza .lakini watu wanavuta 24hrs.na ndo imewasaidia kupata vyeti.waulize kina rado na cpwaa
 
Mbona pumba
 
Yap tena wamechanganyika na wanachuo wa cbe kwasababu cbe wamekuwa wakali kwahyo chama lote lipo dit.
 
Wapo ndani ya eneola chuo ambapo mtu wa kawaida hawezi fika bila kupita getini
Kabla hujaandika fanya research kwanza eti wapo ndani ya chuo na mtu mwingine hawezi fika bila kupitia getini.uliambiwa geti la dit linazuia watu wa wasio wanafunzi kupita .alafu unaonekana mwamasu wewe kama siyo wa shinyanga utakuwa bukoba kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…