Nakubali kabisa,nilikua nafika hapo 2013 kununua na kuvuta bangi kipindi hicho nipo form 5 ndo najifunza kuvuta bangi
Acha umbea. Bangi ni starehe kama starehe nyingine.
Hahaaaa tulikua tunamuita Bob Charle!!!!!Mtaje pusha wa pale.
Hapo naona unamsema mtu, angalia umekaa upande gani..?Baadae Mainjinia Haohao Wanaovuta Bangi Wanazisaliti Fani Zao na Kujiingiza Kwenye Siasa Tukaishia Kuongozwa Na Viongozi Wavuta Bangi Wakabaki Kutufanyia Maamuzi Ya Kibangibangi.
Wapo ndani ya eneola chuo ambapo mtu wa kawaida hawezi fika bila kupita getini
acha uongo wewe...!!!!Mkuu nimekusikia. Mbunge wetu Msukuma kasema; Its high time the Government iruhusu hiki kitu cha Oldonyo kiruhusiwe hadharani. Ningemwomba atupelekee kahoja binwafusi bunge lijalo.
Engineer bila kitu ya Oldonyo kichwani aweza kuwa mwehu.
Maelezo hijayaelewaa au? Ebu soma tena utulivu kisha uweke tena comment yakoUmejuaje kama niwanafunzi wa dit??
Walikuonesha vitamburisho?
Dar Tech kiliitwa kuanzia mwaka 1953 hadi 1997. Baada ya hapo kinaitwa DITIvi kuna tofautu kati ta Dar Tech na iyo ya kuitwa DIT maana kuna dogo kaniambia anasoma Dar tech
Nb aulizae anapenda kujua
1) Uliwezaje kuwaona wakati kuna ukuta wa fensi tena wa Matofali unaotenganisha DIT na CBE?Leo nimepata bahati ya kutembelea chuo cha elimu ya biashara CBE , Ambacho kinapakana na chuo cha DIT kwa kutenganishwa na ukuta tu. Nimeshuhudia vijana wa DIT Wakiwa makundi makubwa nyuma ya mnara wa simu maeneo ya viwanjani wakivuta bangi bila wasiwasi ndani ya eneo la chuo chao .
Wanafunzi wa CBE wanadai hili swala ni la muda na imekuwa kero kwani Moshi wote unaishia CBE uongozi wa chuo cha DIT Fatilieni jambo hili kama sio wanafunzi kwanini chuo kiruhusu uhuni huu ndani ya eneo lake??