Acha umbea. Bangi ni starehe kama starehe nyingine.Mvuta bangi utamuomba kitambulisho kama upo DIT nenda maeneo niliyotaja utawakuta kibao
Vipi umejaribu kufatilia na matokeo yao ukilinganisha na CBE, kujua wapi ni "vichwa"?Leo nimepata bahati ya kutembelea chuo cha elimu ya biashara CBE , Ambacho kinapakana na chuo cha DIT kwa kutenganishwa na ukuta tu. Nimeshuhudia vijana wa DIT Wakiwa makundi makubwa nyuma ya mnara wa simu maeneo ya viwanjani wakivuta bangi bila wasiwasi ndani ya eneo la chuo chao . Wanafunzi wa CBE wanadai hili swala ni la muda na imekuwa kero kwani Moshi wote unaishia CBE uongozi wa chuo cha DIT Fatilieni jambo hili kama sio wanafunzi kwanini chuo kiruhusu uhuni huu ndani ya eneo lake??
Kwa hiyo ile concept ya kuwa ukivuta unakuwa mhalifu vijana wanaiprove wrong sio!!Hapo panaitwa mnaranii!! utakuta vijana wengi tu wanapata stimu then wanakamua vitini,msuli wa DIT wa module 12 kwa semister smtym hauendi bila vitu hivyo,so waache maengineer wa kesho wapate stimu zao
Nakubali kabisa,nilikua nafika hapo 2013 kununua na kuvuta bangi kipindi hicho nipo form 5 ndo najifunza kuvuta bangiLeo nimepata bahati ya kutembelea chuo cha elimu ya biashara CBE , Ambacho kinapakana na chuo cha DIT kwa kutenganishwa na ukuta tu. Nimeshuhudia vijana wa DIT Wakiwa makundi makubwa nyuma ya mnara wa simu maeneo ya viwanjani wakivuta bangi bila wasiwasi ndani ya eneo la chuo chao .
Wanafunzi wa CBE wanadai hili swala ni la muda na imekuwa kero kwani Moshi wote unaishia CBE uongozi wa chuo cha DIT Fatilieni jambo hili kama sio wanafunzi kwanini chuo kiruhusu uhuni huu ndani ya eneo lake??