Uvumilivu unanishinda, nashindwa kutunza usichana wangu

Salaam,

Mimi ni msichana 21 aged, nishawahi pitia relationship 3( long distance). I never had sex with any of them tho. (im virgin), lakini siku zinavyozidi kwenda naona uvumilivu unanishinda.

Sometimes, natamani niende na mwnaume yoyote tuu. ushauri wenu tafadhali. "Ndege mjanja asinase kwenye tundu bovu.
DAAAAH pole sana mdogo wangu hiyo ni tamaa ya mwili na yakupasa uishinde kabisaa Muombe Mungu sana akutete na akuepushe na hili janga.Maombi yangu kwa Mungu akutie nguvu uishinde hiyo vita ya mwili
 
Hak'ya nani!
JPM legeza kamba baba, mambo magumu huku mtaani.
Wanawake mbinu zinawaishia huku, ona sasa bikira naye anasimama kando ya barabara..!
hahahahahahahaha nimecheka kwa nguvu, heri mimi sina hiyo kitu kabisa.

sitaki kusema uongo
 
Colleague, naishi Na family. Nmeajiriwa..
Kwa tafsiri tu ya hiyo signature yako inaonyesha wewe ni mpiganaji ni vema uitendee haki signature yako..
Aidha. Kama mama yako mzazi yuko hai nakushauri uongee na mama yako juu ya swala hili halafu. Mtakayo ongea usiandike humu. Tutakupa email tuwasiliane. Hapo sioni kuwa ni vema ukaanika utakayo zungumza na mama. Mama anaweza kuchallengiwa vibaya na wadau humu halafu ukajisikia vibaya dada yangu.

Vile vile mama hatakosa hekima ya kukushauri jambo kabla ya sisi.Naamini usiku utakuwa na nafasi ya kutujulisha rafiki yako na mshauri wa karibu mama amekushauri nini kabla ya sisi kuku shauri na kukwambia la kufanya. "Hekima ni Bora kuliko utii'
 
Salaam,

Mimi ni msichana 21 aged, nishawahi pitia relationship 3( long distance). I never had sex with any of them tho. (im virgin), lakini siku zinavyozidi kwenda naona uvumilivu unanishinda.

Sometimes, natamani niende na mwnaume yoyote tuu. ushauri wenu tafadhali. "Ndege mjanja asinase kwenye tundu bovu.
Acha bange
 
hongera sana besti umefanya maamuzi jitunze wewe ni mwanamke usikubali kila suruali ikupitie kwani wewe umekuwa kombora la nyuklia jiheshmu jitunze hivyo hivyo mpaka utakapopata mwenzi wa maisha yako ndo umfunulie huko chini kwani ndo Mungu anavyopendezwa na mtu aishie kwenye uchaji kama wako okey
 
Back
Top Bottom