Uvujishaji mitihani

Uvujishaji mitihani

Mmiskiry

Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
55
Reaction score
21
Hivi kama shule Kata Na Wilaya unayofanya kazi ikawa Ina utamaduni wa Kuvujisha Mitihani ya Ndani ya wilaya Ya Mkoa na Hata mitihani ya Taifa.

Unatakiwa uchukue Hatua gani??

Na ukizingazia Wilaya nzima unakuta ndio michezo huo huo.
 
Attachments

  • FB_IMG_16144426930992860.jpg
    FB_IMG_16144426930992860.jpg
    30.4 KB · Views: 7
Elimu imezikwa rasmi serikali yako unajua kabisa kuwa tunawaangamiza watanzania ,inapita majukwaani kutangaza elimu bure kumbe ni maigizo tu maana hakuna mtoto wa mbunge wala waziri anayesoma kwenye hayo maigizo zaidi ya baada kwa watanzania baada ya kuona wameshindwa kuboresha elimu sasa mbinu zilizobaki ni hizo ambazo unaziona ,kwamba walimu baada ya kudai maslahi yao serikali ikaona hakuna umuhimu wa kuwaboreshea mishahara Wala posho walimu wamegoma kimya kimya maana hakuna chombo cha kuwasemea hapa anzia wakati wa kikwete anachukua madaraka walipewa ahadi nyingi sana ambazo ulitekelezaji ulikuwa mdogo ,mitihani ya msingi na sekondari ikaendelea kwa shingo upande nafikiri matokeo uliyaona yaani ni mabaya kiasi kwamba hata yule mwenye darasa la mwisho amaalipandishwa ili tu wananchi wasijue kinachoendelea hali ile imeendelea mpaka hivi leo na sasa wakuu wa shule wanalazimishwa lazima shule yako ifaulishe usipofaulisha ukuu wa shule unaondolewa ,sasa wakuu wa shule kuogopa kuondolewa kwenye hicho cheo anatumia mbinu zote za kufaulisha yaani anzia shule,kata,wilaya, na mkoa kwa ujumla wake hadi NECTA ili tu magazeti ya muda huo yapambwe na vichwa vya habari vinavyosema UFAULU WAONGEZEKA.Sasa unajiuliza hivi tunatengeneza taifa lipi?Halafu kwa faida ya Nani?
 
Kwahyo wewe ndio umeshauri au vipi??

Hapa tunahitaji kujua nani anaweza kushukhulika na hili suala likae Sawa.
 
Haikuhusu as long as uvujishaji haukuathiri
..acha watu wafanye yao
Hivi ni kweli athari za uvujishaji mitihani katika Jamii huijui au unaongea kishabiki mkuu.

Zingatia kizazi tunachokiandaa

Zingatia tutakuwa na Viongozi wa Aina gani

Zingatia tutakuwa na Watendaji wa Aina gani

Zingatia pia taifa litakuwa katika hali gani.

Yote yanayofanyika lazima yatuhusu moja kwa moja kiongozi.

Tunaomba njia ya kuondokana na hili na wapi pa kutolea taarifa na nani anaweza saidia hili.
 
Mkuu Kuna jamaa juu kakuelezea vizur tu...shda ni pressure kutoka juuu...na miundombinu chini sio rafiki ku archive target wanazopewa...ndo maana ukute wanajiongeza
 
Usitoe taarifa katika wilaya yako

Fungua ukurasa wa NECTA kuna jukwaa la mashtaka elezea na evidence
 
Back
Top Bottom