Hii inonekana ni allergy reaction. Kaa na daftari uandike tarehe na saa ya kila kitu unachompa. Uangalie hii traction inatokea baada ya kula nini katika masaa 24.
Vinginevyo hospitali wanasoma allergy kwenye damu watakwambia vitu ambavyo hapaswi kula.
[/rQUOTE]
Asante sana best, japo nilitaka kukupm ila network ikinizingua.
Ni problem karibia ya watoto wengi wa mtaa wetu. Hakuna namna ya medication kwa inshu hii? Maana naona hili zoezi la kukaa na daftari naliona si haba.