Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
MKUU Dr Mupirocin mimi na wewe hatubishani wala sina nia ya kubishana na wewe mimi ila wewe unawapigaHaya Mzizimkavu tunaomba dawa zako hapo wewe huwa unabishana na mimi humu msaidie apone basi.
MKUU Dr Mupirocin mimi na wewe hatubishani wala sina nia ya kubishana na wewe mimi ila wewe unawapiga
Vita Watu wanaotumia Dawa za Mitishamba ndio mimi hapo unaponikera mbona humu ndani ya Jamii forums kuna Ma-
Daktari wengi tu sio wewe tu peke yako hawapingi Madawa ya Mitishamba iweje wewe unawapiga vita Waganga wa
kienyeji? Huyu bibie anatakiwa kufanyiwa uchunguzi kwanza ili ijulikane ni ugonjwa gani? huenda ikawa ni ugonjwa wa
Saratani au ugonjwa mwengine wowote ule ndipo hapo atakapotibiwa. Inatakikana michango yenu haya Ma-Daktari toeni michango yenu ili aweze kutibiwa na kupona.
Mkuu Mupirocin mimi Sipingi watu wasiende hospitalini Kujitibia hata kidogo Mimi Ushauri wangu wa kwanza kwa Wagonjwa humu ndani ya Jamii Forums ni kwenda kwanza Hospitali kumuona Daktari huyo Mtu yoyote atakaye pinga wagonjwa wasiende hospitali atakuwa sio mtu mzuri hakuna hata Threadmimi pia sikupingi ila ninachobishana na wewe kuwakatalia watu wasitumie dawa za hospitali lakini matokeo yake wanakuja late hospitali wakiwa kwenye end stage na matokeo yake wanakufa. Pili unapinga dawa za kisasa ambazo zimefanyiwa utafiti na kuonekana efficacy yake ktk kutibu magonjwa husika. pia dawa zenu hazina kipimo na wala hazijafanyiwa utafiti mnatumia tu na wala hazijathibitika kuwa kweli zinatibu magojwa hayo, pia wewe hujaenda shule kusomea angalau basi course za traditional medicine ambapo ungesoma hii course ndo ungejua kuwa mimi na wewe tunatakiwa kutibu wagonjwa kwa kushirikiana na siyo kupingana. mimi nafikiri tuishie hapa na kila mmoja aheshimu fani ya mwenzake na kuthamini mchango katika jamii, si mbaya siku moja ukanicosult kukusaidia kutibu magojwa coz najua wala hujui mgonjwa akilalamika nini ufanye kipimo gani coz unafanya kwa hisia. nina wasiwasi kama hata kupima jotoridi la mwili unaweza, coz BP najua hujui coz ulishaonyeha siku mmoja hapa kwenye mjadala mmoja.
Mkuu Mupirocin mimi Sipingi watu wasiende hospitalini Kujitibia hata kidogo Mimi Ushauri wangu wa kwanza kwa Wagonjwa humu ndani ya Jamii Forums ni kwenda kwanza Hospitali kumuona Daktari huyo Mtu yoyote atakaye pinga wagonjwa wasiende hospitali atakuwa sio mtu mzuri hakuna hata Thread
yangu yoyote ile niliyosema kuwa Eti Mtu akiumwa asiende Hospitali ebu wewe onyesha Thread gani mimi niliye andika eti Mtu akiumwa asiende Hospitali? Mimi huwa ninasema Dawa nyingi za Hospitali ni sumu tuwe waangalifu haswa Ma-
Daktari kuwapa Wagonjwa Dawa za Sumu sijaseme watu wasiende Hospitali Dr Mupirocin jaribu kunielewa vizuri mimi sipingi Watu wasitibiwe Hospitali jaribu kunielewa Mr Mupirocin. mimi kwanza huwa ninawambia Wagonjwa wanaotaka
ushauri wangu waende Hospitali kujitibia ikishindikana ndio waje tena hapa ndio hapo mimi huwa ninaweza kutoa ushauri wangu siwezi kuwakataza Wagonjwa wasiende Hospitali jaribu kunielewa Dr Mupirocin.
Dr Mupirocin Hebu wewe niambie huko unako fanya kazi Hospitali ya Serikali kuna Dawa yoyote unayo waandikia Wagonjwa isiyokuwa na Madhara? Niambie wewe ukweli wewe ni Daktari je unatoa Dawa isiyokuwa na madhara kwa binadamu wewe?Mkuu Mzizimkavu, hivi ukimwambia mtoto hii ni sumu unafukiri huyu mtoto atatumia dawa hiyo kweli. Sasa kumwambia mgonjwa hizi dawa zinasumu automatically unaconfuse anashindwa atumie modality ipi kupata suluhu ya matatizo ya magonjwa yanayomkabili. As a result anakwenda kutumia dawa za kienyeji. Kwa taarifa yako Taznania ndo inayongoza kwa ushirikina na kutumia local herbs zisizo kuwa namanufaa kwa mgonjwa.