Duuh wamasai wamekula kijani , kweli ccm ni balaaaaaaMakamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Ndugu Tabia Maulid Mwita amekutana na kundi vijana la manyangulo na makorianga wapatao 319 ambao ndio linalotegemewa kama jeshi la ulinzi kwa kabila la wamaasai. Amewaomba wahakikishe mgombea ubunge wa CCM Ndugu Julius Kalanga anapata kura nyingi za ushindi kwa wao kumpigia kura na kumuombea kura kwa wengine.
Amewaeleza wao ni kundi tegemeo kwenye jamii yao wahakikishe wanapata mbunge atakayesikiliza na kuziwasilisha kero zao serikalini kwa utatuzi ambaye si mwingine ila ni Ndugu Julius Kalanga wa CCM ambaye chama chake kinaongoza serikali na kina Rais wa Nchi ambaye ni Dkt John Pombe Magufuli.
Ndugu Tabia amesema mpaka sasa hakuna wa kuizuia CCM kushinda katika Jimbo la Monduli kwani wananchi wameshajua *"Upinzani hauna desturi ya kutatua kero za wananchi maana wanaamini kwa kufanya hivyo watakosa hoja za kuikosoa serikali iliyopo madarakani ndio maana huwakataza wabunge wake kutoshirikiana na serikali. Kwa kuwa wananchi wa Monduli wanataka maendeleo ni vyema mkamchagua Ndugu Kalanga ili akashirikiane na serikali kwa urahisi kuwaletea maendeleo."*
Vijana hawa wa Kata ya Makuyuni Jimbo la Monduli walimhakikishia Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kuwa wamejipanga vizuri kuhakikisha wazee, kina mama, na kina dada wanajitokeza kupiga kura kwa amani na utulivu bila kutishwa na yeyote.
Pia vijana wamemuhakikishia Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Tabia Kuwa kauli yao ni moja tu *"Wanampa Magufuli Kalanga ili kazi iendelee"*
Kabla ya mkutano wake makamu mwenyekiti alishiriki amsha amsha ya kijiwe kwa kijiwe kumuombea kura Ndugu Kalanga akiwa ameambatana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Taifa Ndugu Musa Mwakitinya, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha na Mjumbe wa Kamati ya utekelezaji UVCCM Taifa Ndugu Saitoti Zelothe, Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa Ndugu Joanfaith Kataraia, Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa kutoka Mkoa wa Arusha Ndugu Lulu Mwacha na Ndugu Ramadhan Mlao kutoka Pwani.
Wengine ni Mhe Gudluck Mlinga Mbunge wa Ulanga Mashariki, Mhe Mariam Ditopile Mbunge Viti maalum kundi la Vijana na Katibu wa CCM Wilaya ya Longido Ndugu Juma Simba Gadafi.
Ratiba ya kampeni inaendelea...
#KaziInaendelea
#JuliusKalangaTenaMonduliView attachment 865539View attachment 865541View attachment 865542View attachment 865543
Jimbo la Monduli ni la familia ya Sokoine Lowasa Ana laana ya Marehemu Sokoine.Alipora Jimbo analifanya lake Na familia yake Bila kupata ridhaa ya familia ya Sokoine.Moja ya sababu kubwa ya yeye Lowasa kushindwa uraisi ni dharau kwa sokoine Na familia yakeChadema wanapoteza tu muda
Haya maelezo ya familia ya sokoine kukabidhiwa jimbo la monduli ww umeyapata wap? kwenye makabidhiano wakina nani ndio walikuwa mashahidi?Jimbo la Monduli ni la familia ya Sokoine Lowasa Ana laana ya Marehemu Sokoine.Alipora Jimbo analifanya lake Na familia yake Bila kupata ridhaa ya familia ya Sokoine.Moja ya sababu kubwa ya yeye Lowasa kushindwa uraisi ni dharau kwa sokoine Na familia yake
Sokoine hakuwa fisadi kama Lowasa alikuwa Waziri mkuu asiyepokea mshahara Lowasa tapeli fisadi kipindi kile akajifanya clean.Mzee sokoine akamuaminia kumbe kibaka mwizi toka akisoma chuo kikuu UDSM alikuwa Na kesi za kuibia wanafunzi wenzie mabwenini.Hasidi haachi asili.Anayebisha aende UDSM aangalie kama Lowasa hana kesi za kuibia wanachuo wenzie miaka hiyo akisoma.Haya maelezo ya familia ya sokoine kukabidhiwa jimbo la monduli ww umeyapata wap? kwenye makabidhiano wakina nani ndio walikuwa mashahidi?
Hayo maelezo yako hayaonyeshi wapi jimbo la monduli walikabidhiwa familia ya sokoine, zaidi Naona unamshambulia lowassa , mimi siko interested na kashfa za watu kwasababu hata mimi nina kashfa zanguSokoine hakuwa fisadi kama Lowasa alikuwa Waziri mkuu asiyepokea mshahara Lowasa tapeli fisadi kipindi kile akajifanya clean.Mzee sokoine akamuaminia kumbe kibaka mwezi toka akisoma chuo kukuu UDSM alikuwa Na kesi za kuibia wanafunzi wenzie mabwenini.Hasidi haachi asili.Anayebisha aende UDSM aangalie kama Lowasa hana kesi za kuibia wanachuo wenzie miaka hiyo akisoma.
Utajijua Lowasa hana adabu kwa familia ya sokoine tapeli alimyenyekea sana akiwa hai kumbe it was false conman humility Rangi zake halisi alizionyesha 2015. Sasa majibu atayapata uchaguzi wa mbunge Monduli.Ataijua laana ya Marehemu sokoine Alichokisema 2015 kwa dharau wakati Namelok sokoine akipogombea ubunge kupitia CCM bado kipo kwenye mafaili ya familia ya SokoineHayo maelezo yako hayaonyeshi wapi jimbo la monduli walikabidhiwa familia ya sokoine, zaidi Naona unamshambulia lowassa , mimi siko interested na kashfa za watu kwasababu hata mimi nina kashfa zangu
Duuh hapa hakuna cha kukusaidia , ila maelezo yako yanaonyesha unatatizo na lowassa (hilo nawaachia wenyewe), mimi nilitaka kujua tu kuwa jimbo la monduli ni kweli kakabidhiwa sokoine na familia yake? hivyo the basi kwasababu umeshindwa kuthibitisha mimi nitachukulia maneno yako kama uzushi tuUtajijua Lowasa hana adabu kwa familia ya sokoine tapeli alimyenyekea sana akiwa hai kumbe it was false conman humility Rangi zake halisi alizionyesha 2015. Sasa majibu atayapata uchaguzi wa mbunge Monduli.Ataijua laana ya Marehemu sokoine Alichokisema 2015 kwa dharau wakati Namelok sokoine akipogombea ubunge kupitia CCM bado kipo kwenye mafaili ya familia ya Sokoine