Kwa siku za hivi karibuni kumekuwepo na matamko mbali mbali ndani ya uvccm kutokana na vuguvugu linaloanzishwa na viongozi wa upinzani. Katokana na mwito wake uvccm wamekuwa ndo waathirika wakubwa na wacheza show wazuri kutokana na hizi vuguvugu mfano UKUTA.
uvccm walionekana kuunga mkono joto la UKUTA kwa kutoa matamko ya kuandama nchi nzima kwa lengo la kusifia,kupongeza na kuunga mkono kasi ya Mh Rais na hata hivo hakuna kilichofanyika. Je uvccm wamekosa ubunifu hadi wasubiri kuchezeshwa show??
UVCCM ndo wanategemea kuwa viongozi wa serikali wa baadae na hata ukiangalia teuzi mbali mbali za wakuu wetu zimekuwa zikifanyika kutoka kwa makada hao. Lakini je humo uvccm kuna watu wenye sifa,weledi na hata uzalendo au ndo wanapewa ulaji tu. Tumeshuhudia vinala wa kughushi vyeti na kutumia vyeti vya watu wengine kujipatia mali naadaraka (Bashite) na wengine wameenda mbali zaidi kwa kughushi vitambulisho vya usalama wa taifa (m/kiti uvccm Arusha). Je kubebwa ndo kunawafanya wawe na jeuri kubwa kiasi hiki?
Kwa sifa kama hizi inaonesha wana uvccm mliowengi hamna sifa ila mnabebwa mpaka mnaboa. Miaka ya 2009-2010 kuna mmoja wenu alidisco UDSM na baadae alikuwa kiongozi wa ngazi za juu ndani ya uvccm hivi kweli mliomchagua hamkuuliza cv yake na kuhakiki. Kwann msiweke utaratibu wa ndani wa kuwa na watu weledi. Kama mtachunguzwa 50%kati yenu watakuwa wahalifu