UVCCM waivaa UKAWA

makonda,katiba ni ya muungano kwanini wewe unapinga hoja kuu kuwa ni muungano?kwa mtizamo wako kama muungano una matatizo kwa nini usiekwe sawa kwanza muungano kisha twende kwenye mambo mengine?hii nchi kama kweli inafata sheria zanzibar imeshajitangazia nchi na raisi wake ana uwezo wa kuigawa zanzibar kimikoa kwa jinsi apendavyo jee uvcmm mlitoa tamko lini la kuvunjwa katiba ya muungano?hebu tuekee vizuri takwimu zako kuhusu hayo makundi kama wavuvi na wakulima je ni kundi lipi lina support kubwa kwa wananchi kati ya ukawa na makundi uliyoyataja?
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana huko CCM kuna mapesa mengi sana kwa ajili ya kufanyia propaganda za kipuuzi
 
Kwa kweli hizi lugha za akina makonda zitatufikisha pabaya. Huwa najiuliza watu kama hawa wanatoka wapi kwani unaweza kufikili wanaishi Burundi au Rwanda. Hawaonge hoja bali kuchonganisha watanzania tu. Mungu tuepushe na akina makonda na waasisi wao
 
Kwa upande mmoja nakusamehe kwa vile wewe ni kiongozi wa chipukizi- kweli hii hotuba yako inafaa chekechea unaowaongoza ili wajue uwezo ulionao ila UKAWA ni maji marefu waachie kaka zako, unaonaje ukimconsult Mh Mwigulu ili akuambie ameona nini siku za karibuni....Pole dogo you will learn what is right with time
 
Akili ndogo sana ya huyu makondakta isituumize vichwa, mbona haonyeshi ni kifungu gani cha sheria kilitumika kuivunja tume kabla ya muda wake? Halafu kama waliwaambia (UKAWA) sababu zao kutoka bungeni pale awali mlisahau vipi hadi mnawauliza mara ya pili?
 
huna akili wewe,yani miccm bana hayanaga akili kabisa,yyani wewe ngoja tu
 

Muungano unalinda mipaka??? Huu ni uongo. Wanaolinda mipaka ni vyombo vya ulinzi na usalam na kila mwananchi mmoja mmoja. Hata kama Muungano usingekuwepo kwa mfano portion ya Tanganyika ingelindwa tu na Portion ya Zanzibar ingelindwa tu. Hivyo kiulinzi siyo sahihi sana kwamba Muungano pekee ndo unalinda mipaka, labda angebadilisha mantiki ya hoja kwa kusema uwepo wa Muungano imekuwa rahisi kulinda mipaka hasa eneo la bahari!
 

Maoni mnayotaka nyinyi ktk sura zote 17 mnataka ya kuvunja muungano tu! shame on u, kwani maoni yoooooote ni kuhusu muungano tu! akili za ng'ombe hizo.
 
Maoni mnayotaka nyinyi ktk sura zote 17 mnataka ya kuvunja muungano tu! shame on u, kwani maoni yoooooote ni kuhusu muungano tu! akili za ng'ombe hizo.

Sehenu gani inataka kuvunja muungano kwenye rasimu?
 

We maoni ulitoa wap au ndo wale wale
 
Ingawa siasa ni play role kubwa kwenye maisha yangu lakini siipendi kwa style hii ya kuwa mpambavu mpaka vitu ambavyo viko wazi mtu anaamua kuwa mbishi. Hivi hoja zote na kelele za wadau kuhusu kuheshimiwa maoni ya wananchi kupitia tume ya warioba bado watu wanaona watz ni wajinga kwa kuwa hawezi kutambua uongo na ukweli.

Duh siasa kweli ni sihasa.
 
nahuwezi kumkubali sababu anamuumbua sana bosi wako kila mara.
Huyu Makonda huwa simkubali sana, hasa alipoanza ule mtindo wake wa kukashifu wazee aliowakuta kwenye chama.
 
UVCCM nyie ni wachumia tumbo hamna jipya! Mkafiee mbali huko!
 
Kwani hayo makundi yaliyobaki yanaunda umoja nanyi CCM ? Mbona mkizidi kuvuruga yatakimbia ,hapo yanawalia timings tu,wakishakusanya hela ya kutosha nao wanawaachia jengo lenu ,ni suala la muda tu ?
 
Siku hizi kila mtu hata mwendawazimu akijisikia tu anaitisha Press Conference. Hii nchi kweli, no wonder kila mtu anadhani anaweza kuwa rais. Hii taasisi imerahisishwa kweli!!!! Ukiuliza tu utasikia ".....uhuru wa kuongea" hata utumbo?

Kuna thread hapa inaongelea kitu tofauti kabisa, tena nayo imetoka UVCCM: https://www.jamiiforums.com/katiba-mpya/655749-uvccm-jk-usiwabembeleze-ukawa.html

UVCCM ni sawa na watermelon tu!!!
 

Mkuu punguza jazba kila kitu kina mwisho wake
 
Kwi kwim kwi kwi kwi kwi kwi kwi nilivyoona statement katoa makonda nikaacha hata kusoma mimi ni ccm ila makonda simkubali hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…