Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Naamini kauli iliyotolewa Leo Juu ya Bw.Makonda Uvccm watatangaza kuandamana kumwuunga mkono Mkuu wa mkoa wa DSM.
Ndio tutaandamana na pia tumemuandalia zawadi kwa kuitekeleza Ilani yetu ipasavyoNaamini kauli iliyotolewa Leo Juu ya Bw.Makonda Uvccm watatangaza kuandamana kumwuunga mkono Mkuu wa mkoa wa DSM.