hivi hawa vijana wamelelewa vya kutosha na chama au wamejiunga kwa utaratibu wa crashing programe!
Viongozi wengi wa UVCCM wanachowaza ni lini watateuliwa kuwa ma-DC, ma-RC simply wanachowaza ni madaraka tu hakuna cha maendeleo.ukisikia tu Uvccm imeandikwa basi ujue ni kung'oana , ugomvi wa posho au pesa imepotea ! Hivi haiwezekani uvccm kuendesha hata kongamano la kimataifa ? SHAME !
Viongozi wengi wa UVCCM wanachowaza ni lini watateuliwa kuwa ma-DC, ma-RC simply wanachowaza ni madaraka tu hakuna cha maendeleo.
wakati huohuo bavicha wanawaza kumwagia watu tindikali na kuwalisha sumu.. Refer igunga kesi with henry kileo, ben saanane kesi na lwakatare sagal
CHADEMAimeingiaje hapa nyie mtetee mauchafu yenu wenyewe waacheni BAVICHA wajenge chama chao.Chadema ni wafu watembeao, ccm haiwezi kusambaratika kwa sababu ya mwenyekiti wa vijana
Mwaka jana tulionya juu ya mipango iliyoratibiwa na akija Ben Saanane wakishirikiana na baadhi ya wagombea kwa lengo la kuivuruga UVCCM huko baadae.Tulipeleka hadi ushahidi kwa katibu mkuu Wilson Mukama pamoja na majina ya wagombea waliokua wakishirikiana na vijana wa upinzani wawasaidie kushinda uchaguzi hadi leo kimya.Kinachitokea UVCCM sasa hivi ni matokeo ya makundi na mengine yakisaidiwa kimkakati na vijana wa upinzani.Zile tuhuma za mwanadada Eddah Kishimba na Martine Shigella ambazo Ben aliweka humu bado mchezo unaendelea.Turudishe chama kwa wakulima na wafanyakazi.Tuache tabia ya unafiki,uhuni na kusalitiana kwa kuwa hakuna atakayesalimika
Ben Saanane na UVCCM? anashiriki katika siasa za maji machafu? Its hard to believeMwaka jana tulionya juu ya mipango iliyoratibiwa na akija Ben Saanane wakishirikiana na baadhi ya wagombea kwa lengo la kuivuruga UVCCM huko baadae.Tulipeleka hadi ushahidi kwa katibu mkuu Wilson Mukama pamoja na majina ya wagombea waliokua wakishirikiana na vijana wa upinzani wawasaidie kushinda uchaguzi hadi leo kimya.Kinachitokea UVCCM sasa hivi ni matokeo ya makundi na mengine yakisaidiwa kimkakati na vijana wa upinzani.Zile tuhuma za mwanadada Eddah Kishimba na Martine Shigella ambazo Ben aliweka humu bado mchezo unaendelea.Turudishe chama kwa wakulima na wafanyakazi.Tuache tabia ya unafiki,uhuni na kusalitiana kwa kuwa hakuna atakayesalimika
Bila ccm nchi yetu itayumba