PreGE2025 UVCCM Chato yawaonya wanaopanga njama kuvuruga uchaguzi mkuu

PreGE2025 UVCCM Chato yawaonya wanaopanga njama kuvuruga uchaguzi mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Chato Mkoani Geita, wametoa Msimamo wao na kuvionya baadhi ya Vyama vya Siasa ambavyo vimekuwa vikipanga njama za kufanya vurugu kwa kuwatumia vijana katika kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, kuacha mara moja kwani watasimama katika kuhakikisha uchaguzi huo unafanyika kwa amani.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana ya Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Chato , Frank Kuzenza katika Kikao cha Baraza UVCCM wilaya Chato, ambapo amewataka Vijana wa chama cha Mapinduzi kuwa mstari wa mbele katika kukipigania Chama pamoja na viongozi wake huku akiwataka kutojihusisha na vitendo ambavyo vitapelekea uvunjivu wa amani ndani ya nchi.
 
UVCCM sasa hivi imejaza vijana vilaza, vijana wanaofikiri kwa kutumia utumbo mpana. Ni tatizo kubwa sana.
 
Back
Top Bottom