amina ngalo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 309
- 170
Baada ya Mbunge Lema kuchangia jana bungeni kwenye hotuba ya waziri wa Tamisemi leo kwenye sherehe za kumpongeza mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Bondeni ndugu Ally kaole mwkt wa UVCCM wilaya ya Arusha mjini Martin Munisi amemuonya mbunge wa Arusha mjini kuacha porojo na mizaa bungeni
nabadala yake atekeleze jukumu lake la kuwakilisha wanaarusha
Namnukuu mwkt ::jana nilikuwa nasikiliza bunge nikamsikia mbunge wenu lema akichangia vitu vya hobo bungeni analia 1 .analia kutaka bunge liwe live iliakipigana au kuongea maneno yake ya shombo watu wamwene
Mbili anasema anamkubali sana Raisi magufuli na ccm kuwa lengo la upinzani /CHADEMA siyo kuongoza nchi bali ni kuikosoa serikali na kuhakikisha mambo yanakwenda sawa hili nakubali na nikweli kabisa kuwa chadema haitakaa iongoze nchi hii
Tatu anasema uchaguzi wa serikali za mitaa kulikuwa na mitaaa sita na CHADEMA wameshinda minne CCM miwili tangu Lema amehamia Dar mambo ya Arusha naona hayajui tena uchaguzi wa mitaaa Arusha ulikuwa hivi
Naurei CCM
Sanawari CCM
Kalimaji CCM
Ndaravoi CHADEMA
Sanare CHADEMA
Bondeni CCM
Makaomapya CCM
Mama Musa CHADEMA
Azimio CHADEMA
Olamuriaki CCM
Kati Terati CCM
Hiyo ndiyo mitaaa iliyofanya uchaguzi
Mengine sikumbuki aliyoongea maana sikuona jambo la maana sana kwenye maneno yake yote
Mkumbusheni lema kuacha kufanya mzaa na maisha ya watu amepewa heshima kubwa na wanaarusha ambayo ameshindwa kuiheshimu mpaka sasa
Meya wa CCM na halmashauri iliyopita waliacha magreda malori ya kubebea moramu lakini kwasasa yanapiga kutu na barabara hazipitiki Arusha maeneo mengi mwisho wa kunukuuu :;: