kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Leo 2019 tayari wapo vijana wameanza kuwaza nani rais ajaye 2025 na wanatamka adharani jina lake na mbaya zaidi wanamtetea kwa nguvu zote mitandaoni.......
Katibu Mkuu unajua wapo watu wameandaa na nafasi zao katika wilaya na mikoa nchini? Unajua wapo watu wameanza kuajiriwa kwa sababu tu wanatetea vyema ujio wa Rais mpya 2025? Unatambua kuwa vijana wameacha kusoma na kufanya kazi kwa bidii wakisubiri wateuliwe ubunge na nafasi mbalimbali za siasa?
Jamani wakuu mnatambua kwamba vuguvugu la watu kuongoza Tanzania limekuwa kubwa na kila mtu anawaza kuwa Rais? Nadhan wamejiaminisha kwamba urais Ni kazi rahisi Sana na sijajua wamejuaje au ni kipi kimewafanya waone siasa ni suluhisho la mtaji.
Praising team inapambana na wagombea Urais wa 2025 kuliko wanavyopambana na maisha yao binafsi.
Hata wewe unataka kuwa Rais wa nchi kweli?Pls acha, huna sifa ya kuongoza nchi mdogo/ mtoto wangu. Mkoa unakutosha
Au ulimaanisha 'nchimbi'2025 itakuwa zamu ya wapinzani kuchukua nchi
BAHITE ni tatizo nchini! Ila ipo siku......Tunamalizia wiki ya Mengi aliyekufa na mengi....
Ilikuwa ni nafasi adhimu ya kusimangana.... Lakini wakabanwa sana... Waliopata nafasi hawakufanya kosa.. WALIITUMIA
Tuko ukingoni sana... Bado ana hamu ya kuongea zaidi amesema ataongea baada ya siku 3,Leo ya pili
BAHITE ni tatizo nchini! Ila ipo siku......
BASHITE ni tatizo nchini! Ila ipo siku.Tunamalizia wiki ya Mengi aliyekufa na mengi....
Ilikuwa ni nafasi adhimu ya kusimangana.... Lakini wakabanwa sana... Waliopata nafasi hawakufanya kosa.. WALIITUMIA
Tuko ukingoni sana... Bado ana hamu ya kuongea zaidi amesema ataongea baada ya siku 3,Leo ya pili
Tunamalizia wiki ya Mengi aliyekufa na mengi....

Waambie wahamie Zanzibar.Leo 2019 tayari wapo vijana wameanza kuwaza nani rais ajaye 2025 na wanatamka adharani jina lake na mbaya zaidi wanamtetea kwa nguvu zote mitandaoni.......
Katibu Mkuu unajua wapo watu wameandaa na nafasi zao katika wilaya na mikoa nchini? Unajua wapo watu wameanza kuajiriwa kwa sababu tu wanatetea vyema ujio wa Rais mpya 2025? Unatambua kuwa vijana wameacha kusoma na kufanya kazi kwa bidii wakisubiri wateuliwe ubunge na nafasi mbalimbali za siasa?
Jamani wakuu mnatambua kwamba vuguvugu la watu kuongoza Tanzania limekuwa kubwa na kila mtu anawaza kuwa Rais? Nadhan wamejiaminisha kwamba urais Ni kazi rahisi Sana na sijajua wamejuaje au ni kipi kimewafanya waone siasa ni suluhisho la mtaji.
Praising team inapambana na wagombea Urais wa 2025 kuliko wanavyopambana na maisha yao binafsi.
Hata wewe unataka kuwa Rais wa nchi kweli?Pls acha, huna sifa ya kuongoza nchi mdogo/ mtoto wangu. Mkoa unakutosha
Hiyo zamu imepangwa na nani?2025 itakuwa zamu ya wapinzani kuchukua nchi
Uvccm ni kikundi cha wahuni kilichlelewa katika maadili ya kijinga kikitegemea buku7 wakiongozwa na yule mhuni anayejiita heri sijui nan.Leo 2019 tayari wapo vijana wameanza kuwaza nani rais ajaye 2025 na wanatamka adharani jina lake na mbaya zaidi wanamtetea kwa nguvu zote mitandaoni.......
Katibu Mkuu unajua wapo watu wameandaa na nafasi zao katika wilaya na mikoa nchini? Unajua wapo watu wameanza kuajiriwa kwa sababu tu wanatetea vyema ujio wa Rais mpya 2025? Unatambua kuwa vijana wameacha kusoma na kufanya kazi kwa bidii wakisubiri wateuliwe ubunge na nafasi mbalimbali za siasa?
Jamani wakuu mnatambua kwamba vuguvugu la watu kuongoza Tanzania limekuwa kubwa na kila mtu anawaza kuwa Rais? Nadhan wamejiaminisha kwamba urais Ni kazi rahisi Sana na sijajua wamejuaje au ni kipi kimewafanya waone siasa ni suluhisho la mtaji.
Praising team inapambana na wagombea Urais wa 2025 kuliko wanavyopambana na maisha yao binafsi.
Hata wewe unataka kuwa Rais wa nchi kweli?Pls acha, huna sifa ya kuongoza nchi mdogo/ mtoto wangu. Mkoa unakutosha
Mshana kama na kuona live vile akitoa unitag mkuuTunamalizia wiki ya Mengi aliyekufa na mengi....
Ilikuwa ni nafasi adhimu ya kusimangana.... Lakini wakabanwa sana... Waliopata nafasi hawakufanya kosa.. WALIITUMIA
Tuko ukingoni sana... Bado ana hamu ya kuongea zaidi amesema ataongea baada ya siku 3,Leo ya pili
Tunamalizia wiki ya Mengi aliyekufa na mengi....
Ilikuwa ni nafasi adhimu ya kusimangana.... Lakini wakabanwa sana... Waliopata nafasi hawakufanya kosa.. WALIITUMIA
Tuko ukingoni sana... Bado ana hamu ya kuongea zaidi amesema ataongea baada ya siku 3,Leo ya pili
Tunamalizia wiki ya Mengi aliyekufa na mengi....
Ilikuwa ni nafasi adhimu ya kusimangana.... Lakini wakabanwa sana... Waliopata nafasi hawakufanya kosa.. WALIITUMIA
Tuko ukingoni sana... Bado ana hamu ya kuongea zaidi amesema ataongea baada ya siku 3,Leo ya pili
Daudi Albert Bashite...Leo 2019 tayari wapo vijana wameanza kuwaza nani rais ajaye 2025 na wanatamka adharani jina lake na mbaya zaidi wanamtetea kwa nguvu zote mitandaoni.......
Katibu Mkuu unajua wapo watu wameandaa na nafasi zao katika wilaya na mikoa nchini? Unajua wapo watu wameanza kuajiriwa kwa sababu tu wanatetea vyema ujio wa Rais mpya 2025? Unatambua kuwa vijana wameacha kusoma na kufanya kazi kwa bidii wakisubiri wateuliwe ubunge na nafasi mbalimbali za siasa?
Jamani wakuu mnatambua kwamba vuguvugu la watu kuongoza Tanzania limekuwa kubwa na kila mtu anawaza kuwa Rais? Nadhan wamejiaminisha kwamba urais Ni kazi rahisi Sana na sijajua wamejuaje au ni kipi kimewafanya waone siasa ni suluhisho la mtaji.
Praising team inapambana na wagombea Urais wa 2025 kuliko wanavyopambana na maisha yao binafsi.
Hata wewe unataka kuwa Rais wa nchi kweli?Pls acha, huna sifa ya kuongoza nchi mdogo/ mtoto wangu. Mkoa unakutosha
Tabia za kifutu ni kujitutumua alafu anapondwa kichwa anakufa!Leo 2019 tayari wapo vijana wameanza kuwaza nani rais ajaye 2025 na wanatamka adharani jina lake na mbaya zaidi wanamtetea kwa nguvu zote mitandaoni.......