blissful.smyl
Member
- Jul 8, 2014
- 11
- 3
habarini wana ndugu nina tatizo kidogo katika uuzaji wa used spare za magari mwanza. hali hio ilisababishwa baada ya mzee kuugua na kushindwa kuendelea na bishara hiyo. tumefunga duka na kuanzisha biashara nyingne tofauti ambayo kwa sisi tunaweza kuimudu. naombeni ushauri juu ya hili suala na njia za kufanya kuuza spare hizi ..