Uume wangu unasimama sana hadi unauma, shida ni nini?

James alamba

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
216
106
Jamani shida nini, yaani uume wangu unasimama sana na misuli yake inakaza sana mpaka naumia.
 
Dahh mkuu kama unatangaza urijali wako hapa JF basi subiri utapata PM kwa waliovutiwa na mdudhe wako.Hongera kwa kubalehe mapema
 
Jamany sio first time kusimamisha inshu unasimama sana afu naumia ndio shida
 
Unalala ila ukisima morn nikiwa naamka unauma sana na nikiwa nafanya mapenzi ukisimama unauma sana yaan
inawezekana ukawa na shida njia ya mkojo kama maambukizi. kama hakuna maambukizi basi hakikisha hutumii dawa za kuongeza nguvu ya dushe,na uendelee kujichunguza kwa muda utapona. huwa nayo inaumia hasa ukigegeda vibaya kwa maana ya kuipindisha kwa nguvu misuli inaumia ndani kwa ndani.
 
Asante sana.
 
Hiyo ni dalili ya uti hat ukijaribu kukojoa lazima utasikia maumivu pia muone daktar upate huduma hAraka zaidi

Kwani hali hiyo utokea asubuhi ukiwa unaamka mkojo umebana unavuta mishipa

Nahisia za sex sinavyo jongea mishipa hupumua so vijidudu hushambulia ndio maaana unasikia hali hiyo

Pole. Mkuu.
 
Back
Top Bottom