mnajbu kpumbavu2 wakat m2 yupo serious.mnatumia viungo gan kufikr?au masaburi,hv kwel unakaa nyuma ya pc una comment upuuz mcwe kama mna ma..b..sha
Katika mazingira ya kawaida si kawaida uume kutosimama asubuhi ukiachilia kwamba kama mtu amefanya sana tendo la ndoa kabla ya kulala,magonjwa nk.ambapo mtu si rahisi kuamka uume umesimama,lakini simaanishi kwamba tayari mtu huyu anaupungufu wa nguvu za kiume....
Mkuu Han'some Mimi ninakubaliana na Dr. Ndodi aliyoyasema ikiwa unapoamka asubuhi kwenda chooni kukojowa uume wako haujasimama ni-Je, kuna tatizo kama uume haujadinda wakati mwanaume yupo usingizini, na pale aamkapo asubuhi?
-Dr. Ndodi amewahi kusema kuwa NI DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME kama UUME UTAKUWA UMELALA i.e., huajadinda wakati mwanaume yupo usingizini, na pale aamkapo...
mhh...wenzio wanatamani wawe kama wewe....we unatamani uende kwenye matatizo.......kama unapoamka asubuhi husimamishi ujue we sio mzima.aah! Kwanza ni kero unaamka asubuhi kitu kiko mnara hata dk 15 huku kinajua upo mwenyewe tu hakuna wa kukituliza. Wataalamu toeni na mbinu za kufanya mtu ukiamka iwe imelala
mhh...wenzio wanatamani wawe kama wewe....we unatamani uende kwenye matatizo.......kama unapoamka asubuhi husimamishi ujue we sio mzima.
Katika mazingira ya kawaida si kawaida uume kutosimama asubuhi ukiachilia kwamba kama mtu amefanya sana tendo la ndoa kabla ya kulala,magonjwa nk.ambapo mtu si rahisi kuamka uume umesimama,lakini simaanishi kwamba tayari mtu huyu anaupungufu wa nguvu za kiume....
itabidi uusimamishe kwa kulala chali na kuufunga kamba uuninginize juu ya dali
πππAcha hiyo nenda na kwneye maombi samahan kuuliza hili kwa nia njema usiku ukilala uoti unafanya mapenzi na pengne asbh unaamka umelowa?kama ndio dat is spiritual wife asbh unamka hoi soln n maombi kwa walokole n all thebest