Uume kusimama usiku kucha

lekumok

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2018
Posts
589
Reaction score
773
Habari za mda huu waungwana,

Naomba mwenye kujua hili tatizo linalo nisumbua mda Sasa. Yaani mda wote nakua nipo sawa ila ikifika ule muda nikianza kulala uume unanza kusimama wenyenye pasipo kuusisimua na hali hiyo huendelea hadi asubuhi,

Msaada kwa mwenye kujua chanzo
 
Tatizo limeanza lini? Umeoa au kuna mtu unamuwaza kimapenzi? Unatumia kawaha ,tangawizi na vichocheo vingine? Chakula gani unapendelea kula?
 
Maanaake mfumo wa damu haupo sawa .Kinachosababisha mzigo usimame ni damu so ubongo ubongo unapaswa kuiambia damu huko hakuna kazi pumzika
 
Wewe utakuwa unakula mlenda sana au aina ya vyakula hivyo hii ndo ilinifanya niwe kama wewe nikatupilia mbali
 
Ni kawaida sana mm pia nasumbuka na hii kitu imri 40+
 
Angalia isije ikawa umegeuzia boxer, kupitia harufu ikawa inapata feelings za kitu kingine
 
Poleni sana, side effect ya viagra au vumbi la congo, au mkuyati...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…