Azam hawajawahi kutangaza mechi yoyote live,wao hutumia video kutangaza.Kama unataka wanaotangaza mechi live kwa vpl ni Abood,Sibuka Nk. Japo VPL huonesha live ila hawatangazi live
Wanafanya vema kuonyesha ila kinacho kera ni kuingiza sauti ya watangazaji,badala ya kuacha vibes za uwanjani yaani tukio linatokea mtangazaji naye anasubilia replay ili aone vizuri, wakiacha huo ujinga watafanikiwa sana