Uturuki: Viatu : Raba, Simple na Sandals

ALEX_ANDER

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2014
Posts
570
Reaction score
828
Kwa mahitaji ya shopping ya nguo za watoto, viatu vya kike, mikoba na perfumes kutoka Uturuki
Tucheki "turkish_designs_wears" IG na Facebook
Kwa jumla na Rejareja
Tupo Tandika Plaza













 

Attachments

  • Adjustments.jpg
    168.6 KB · Views: 15

Karibuni sana
 
Waturuki hawana vitu vya kishamba kiasi hichoo mzee.....UTURUKI ukiona tu unajua labla uwe mgeni na nguo na viatu kutoka uturuki.

Najua sio kila mtu atapenda kila kitu kwenye biashara ya mtu ,kama wewe umeziona za kishamba, usitoe maneno usiyo na uhakika nayo, USIPENDE KUONEKANA UNAJUA HATA USIPOJUA.
Sio kila mtu yupo kwenye mitandao kwa ajili ya kupoteza muda. Be wise.

IG page: turkish_designs_wears
 
Mzee nenda kapige kozi ya customer care.
 
Nje ya mada, kwa wanyabiashara Kama wewe ambao mna access na nguo za nje ya nchi , mnashindwa Nini kuleta nguo zenye standard ya maana ?, Kuna T shirts , shirts za mtumba nzuri na kiwango kabisa ,unavaa kwa Miaka kadhaa na haipotezi ubora mnakwama wapi kuleta quality ya nguo Kama hizo za mtumba zikiwa mpya?
 

Kweli ndugu,ila kwa location ya duka langu (Tandika) viatu vya kike na mikoba ndio vinavyoendesha biashara kwa sasa, huo ushauri wako ndio niko kwenye mchakato ila nimeanza kwenye viatu vya kiume nguo bado sijazijulia vizuri.

 

Size 38 : Bei 65,000



Size 38 na 39: Bei 45,000


Size:37,38 na 39 Bei 35,000


Raba size 37,38,39 na 40, Bei 120,000


Size: 37,38,39 na 40 Bei: Full set 35,000


Size:37,28,29 na 40 :Bei 25,000


Size:37,28,29 na 40 :Bei 25,000


Size:37,28,29 na 40 :Bei 25,000


Size:37,28,29 na 40 :Bei Full set 40,000


Size:37,28,29 na 40 :Bei 20,000

Tupo Kinondoni Studios na Tandika Plaza:
Contact:0686-942-315 ( WhatsApp/Call)
Ig page: Turkish_designs_wears
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…