Utumwa wa mapenzi katika ndoa

Kumtoa mtu nje haibadilishi hisia za mtu alafu mkeo kama akuanzi inaweza kuwa swala la kihisia au makuzi ya kabila lao kama wamasai au wasukuma wa kijijini ni ngumu yeye kukuanza ata iweje sababu ya malezi waliyoyapata toka udogoni

Je ni nini nachoweza kubadilisha husia za mwanamke?
 

Huu ni ukweli usipingika, hawa wanawake dawa ni kuwa na multiple Women, watesi wakubwa na Mbwa kabisa....
 
Oa kwanza afu ndo uje mkuu. Ivi ivi bila ndoa uwez elew kw harak hata uwe na mahusiano na wake 100. Afu summarize uzi ktk sentens 1 as u said ntakupa like
Niko kwenye ndoa MKUU labda uniambie umeandika huku ukiwa umepanic

Summarization. NINANYIMWA TENDO LA NDOA KWA VISA TOFAUTI KWANINI.
 
Nimesoma hata sijaelewa, sijui kwavile hainihusu!!!
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Wewe ndie uko kwenye uhusiano miaka 100 nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii ndio kweli chungu, mwanamke anaemaindi kupigwa mashine nawewe ujue anakupenda na anafurahia. Kinyume na hapo ni kukamilisha ratiba tu
 
Jamani, hivi ni mimi tu ndiyo nimetoka kapa? Yaani nimesoma ila sijaelewa kitu chochote.
 
Huu ni ukweli usipingika, hawa wanawake dawa ni kuwa na multiple Women, watesi wakubwa na Mbwa kabisa....
Daa mkuu acha tu kuna mengi wanaume tunavumilia sana kisa tu pingu za maisha.
 
Utoto unakusumbua na kama umeoa basi umeruka stage
 
Mkuu sumar yako isingjtoshrz kufikisha ujumbe kusudiwa. Umegusia kunyimw tendo ila mm nimelez mamb 3.
Niko kwenye ndoa MKUU labda uniambie umeandika huku ukiwa umepanic

Summarization. NINANYIMWA TENDO LA NDOA KWA VISA TOFAUTI KWANINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…