Utumishi wametoa nafasi nyingine

Utumishi wametoa nafasi nyingine

Wacha watoe tu....hawana jipya...bora niende mgambo kuliko kuomba kazi za hawa vilaza
 
Wanajitahidi kwa kiasi fulani ktk utendaji ingawaje Mapungufu yapo kwa Baadhi ya Watumishi hasa ktk Usahihishaji wa post zenye Unyeti mfano POST zile za AUDITOR GADE II za pale CAG ulifanyika kule Mwl.Nyerere Memorial Academy,Kweli usahihishaji haukua fair either ni kwa sababu ya muda au unyeti wa nafasi zenyewe.Wawe makini ili wasije wakaharibu imani kwa watanzania wanyonge ambao wengi wana wategemea wao.Ukweli kwa sasa wapo juu ila wachunguze kwa haya madoa madogomadogo ili waweze kuendelea kuaminika na kukubalika.Hongereni but avoid Bias for future success
 
Back
Top Bottom