Utumishi wameita kada mbalimbali kwenye interview tarehe 6,7,na 8 December 2012. Tembelea website yao. Hongereni kwa walioitwa Mungu awasaidie mkafanye vema, na wale ambao hajaitwa hakuna sababu ya kukata tamaa wakati utafika tu.
Ni kqweli kwamba kukata tamaa ni dhambi ila kwa akili yangu timamu jina limetoka kwenye watu 1077 kuna bahati kweli hapoooo! Najitoa bure bure bure kabisa.
haa a a a ha a a a ha a a a a
msikate tamaa vijana keep on trying mtafanikiwa tu siku moja!
but kama kuna mambo mengine mnaweza kufanya km vile ujasiria mali, Ualimu nyie endeleeni, manake kuna maelfu ya vijana hawana ajira wanazunguka mijini kila kukicha na bahasha wanasambaza CV kwenye makampuni na maofisi tofauti tofauti.....Cv hizo zinaishia kuchomwa moto tu!
Hakuna mpango wowote wa kushughulikia tatizo hilo, wanaishia tu kutoa msemo wao kuwa "mjiajiri" hakuna anayezungumzia changamoto za vijana kujiajiri kama vile mitaji, elimu ya ujasiria mali n.k
ni wakati wenu kuamka