Artificial intelligence
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 1,264
- 2,257
Hongera kwa kupata kazi.My first interview na utumishi, my first job posting.
Ninachoweza kusema utumishi wako fair, I personally had no one to hold my hand nime fight mwenyewe mwanzo mwisho and here I am nime itwa kazini. Yes wana flaws za hapa na pale na pia maybe sometime watu wenye vimemo wana pita ila it shouldn't stop you/ us from trying time to time.
Muda wa Mungu ndio sahihi kila siku kila wakati basi amini ipo siku jina lako litakuepo pale kwenye website yao.
Baadhi humu wana nijua na tulikua nao kwenye usaili na hawaja fanikiwa kupata ila tuko pamoja naamini kuna milango mikubwa zaidi ya hii ina funguliwa mbele yako.
Kwahiyo umeona umwambie ukweli wote[emoji16]Kwanza pole kwa kukashifu kazi za wengine kwani wa Halmashauri nae atakua kapata maisha ambayo labda wewe unaona ni upuuzi.
Pili pole kwa mindset yako. Nakuhurumia.
Tatu pole kwa kuku dissapoint ila nimepata kazi TANAPA.
Naona unadharau kazi za watu ndugu.Ukiona mtu kapata kazi kirahisi basi ujue kapata halmashauri kusiko na mshahara
CongratsMy first interview na utumishi, my first job posting.
Ninachoweza kusema utumishi wako fair, I personally had no one to hold my hand nime fight mwenyewe mwanzo mwisho and here I am nime itwa kazini. Yes wana flaws za hapa na pale na pia maybe sometime watu wenye vimemo wana pita ila it shouldn't stop you/ us from trying time to time.
Muda wa Mungu ndio sahihi kila siku kila wakati basi amini ipo siku jina lako litakuepo pale kwenye website yao.
Baadhi humu wana nijua na tulikua nao kwenye usaili na hawaja fanikiwa kupata ila tuko pamoja naamini kuna milango mikubwa zaidi ya hii ina funguliwa mbele yako.
Shida haipo, system imeshakutambua tayari labda uje kuharibu mwenyew [emoji16]Sioni shida kuna majina kibao pale akachague analotaka ndio litakua langu.[emoji28]
-Mkuu sijadharau, kwa sababu mimi mwenyewe sio mwajiriwa, mimi ni machinga natembeza bidhaa mitaaniNaona unadharau kazi za watu ndugu.