Utumishi vipi kuhusu TanTrade?

Utumishi vipi kuhusu TanTrade?

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
474
Reaction score
188
Wiki iliyopita yalitoka majina ya kuripoti kazini kwa watu wa kada mbalimbali, lakini sijaona majina/ majibu ya tuliofanya interview Tantrade... Sasa, je, mlishaita au ndo bado tu majibu? Interview ilifanyika sawa na wale wengine mfano BRELA.
 
Wale tuliofanya oral Tantrade pale Utumishi mwisho wa mwezi March, mbona bado hawajaita watu kazini na taasisi zingine tuliofanya nao pamoja wameita?

Kwa yeyote anayejua atujuze.
 
ata me nawashangaa kama wamechakachua vile kwa sababu watu tulikuwa wachache wameshindwa nini kuwaita watu....wanautapeli nn..haiwezeka miezi mitatu ndo uitwe kwenye usaili alafu tena mpaka sasa miezi miwili tena hawajaita kwa ile interview ya tantrade kazi moja miezi 5 bado hakieleweki mpaka sasa
:disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed:
 
Back
Top Bottom