Utumishi na Uhamiaji ni cha mtoto

Utumishi na Uhamiaji ni cha mtoto

Joined
Jan 22, 2014
Posts
51
Reaction score
5
Wakala wa seriali na Mamlaka za serikali za Mitaa (MDAs & LGAs) wametoa kali zaidi ya uhamiaji na Utumishi.

Wao walitangaza nafasi moja (1) ya Afisa Ugavi Msaidizi II (Assistant Supplies Officer II) tarehe 17 Feburuari, 2014 na tare he 07 Juni, 2014 wakawaita watu 131 kwenye usaili uliofanyika trh 14.062014 ktk ofisi za Secretariat ya ajira. Jengo la maktaba kuu ya Taifa, hii ikiwa ni usaili wa mchujo na tare he 19.06.2014 ni usaili wa mahojiano.

Hoja yangu hapa ni uwezekano wa wasailiwa hawa kupata kazi kuwa ni mdogo kuliko ule wa Utumishi na Uhamiaji kwani hapa ni 0.0076% tu ndio uhakika wao wa kupata kazi.

Ukilinganisha Utumishi, Uhamiaji na MDAs&LGAs utabaini kuwa MDAs&LGAs ndio wamevunja rekodi ya ulimwengu zaidi ya Wachina na taasisi zilizotajwa hapo juu. "Majanga kwa wanataaluma"

Watanzania hasa mlioko vyuoni uhakika wa kupata kuajiliwa bado ni fumbo lisilo na mfumbuzi.

Aidha, hakikisheni mnatilia mkazo zaidi kwenye masomo ya ujasiamali zaidi (entrepreneurship) otherwise mnapiga na mtapiga lapa patupu kabisaaa!

Namalizia kwa kusema "ukishangaa ya Mkapa utaona ya Kikwete".
 
Ulikua unahudhuria vipindi vya hesabu????
 
1 kwa 156 uhamiaji, 1 kwa 282 Utumishi halafu wewe unasema 1 kwa 137 ya MDA & LGA ni kubwa zaidi???? Umenikera!
 
du hivi kwanini wasingeeita watu 10 wa juu kupambana na hiyo nafasi 1? au wana nafasi za sub?
 
Mkuu Philemon mikael na Yeriko nyerere njooni muone maajabu mengine huku.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu angalia upya datta zako kisha ufanye vyema hesabu.
 
Ujasilia mali kwa mtaji gani...unajua tuko wangapi? kila mtu auze nyanya...
Nyie faidini ila karibu tukilipuka,mtajua
 
Hiyo 0.0076% izidishe na 10,000 upate % inanayoisemea. Hii no saw a na 0.0076% × 10,000 = 0.76%
 
Watanzania hasa mlioko vyuoni uhakika wa kupata kuajiliwa bado ni fumbo lisilo na mfumbuzi.

Aidha, hakikisheni mnatilia mkazo zaidi kwenye masomo ya ujasiamali zaidi (entrepreneurship) otherwise mnapiga na mtapiga lapa patupu kabisaaa!
Kazi kweli tunayo...
 
Kuajiriwa ni utumwa,tafuta ajira kupata starting point na mtaji ukishapata hivyo vitu achana na ajira jiajiri mwenyewe.
 
Escrow account+epa+iptl+chenji ya rada+fedha zilizofichwa uswiss=ajira kibao kwa vijana wa tz
 
Hiyo 0.0076% izidishe na 10,000 upate % inanayoisemea. Hii no saw a na 0.0076% × 10,000 = 0.76%
Hiyo 10,000 ni nini na inatoka wapi?
lakini hii 0.76% ni probability ya kupata, ina uafadhali kuliko zile za utumishi na uhamiaji ambazo hazikufika hata 0.70%.

Hii ya kwako ni ndogo, but haizifikii zile!!
 
Back
Top Bottom