Ila hii nchi, ukiangalia ufanisi na kasi ya utendaji wa NIDA, Sekretarieti ya ajira, jeshi la zimamoto na uokoaji, timu ya taifa (taifa stars), shirika la umeme, mitandao ya simu, n.k daah bora tu nikae kimya...
Itoshe tu kusema, nchi (pamoja na mambo yake yote) tunaipenda, acha tu tuivumilie.