Rehema Athmani
Member
- Aug 29, 2012
- 14
- 0
hi wadau, utumishi kwa mara ya pili tena wametoa nafasi za kazi zaidi ya 2000 tembelea website yao.kajarib bahati yako, ila daaaaa........... deadline mwezi wa sita kazini sijui lini tena.
hi wadau, utumishi kwa mara ya pili tena wametoa nafasi za kazi zaidi ya 2000 tembelea website yao.kajarib bahati yako, ila daaaaa........... deadline mwezi wa sita kazini sijui lini tena.
Nimejaribu kuchek fasta cJaona, labda nina ucngiz. Ngoja nilale kesho niangalie vzr zaidi. Bt thnx for the info
Nimejaribu kuchek fasta cJaona, labda nina ucngiz. Ngoja nilale kesho niangalie vzr zaidi. Bt thnx for the info
aisee hata mi nilipata shida sana kuziona, ndgu yangu mmoja akaniambia fanya hiv, nenda "Ajira.tz/new vancany 2013" then utaenda "nafasi za kazi utumishi tanzania may 2013.......
aisee hata mi nilipata shida sana kuziona, ndgu yangu mmoja akaniambia fanya hiv, nenda http:/www.Ajira.tz/new vancany 2013" then utaenda "nafasi za kazi utumishi tanzania may 2013
Ukichunguza vema utagundua mikutano hii ya kuwatukana wakristo ina backing ya political heavyweights kote, bara na visiwani. Kikwete ni ndumila kuwili na hata kama uliisikiliza vema hotuba yake ya mwisho wa mwezi utagundua lugha ya kinafiki aliyoitumia!