Hata mimi iliwahi kuniktokea. Niliombaga post mbili tu,computer network admin na computer system admin. Zile post za eGA. Siku ya interview nikaitwa hiyo ya networking na ya database admin. Nashukuru nilipiga zote mbili na nikafaulu kuingila 2nd interview "practical".
Ila ktk 2nd interview sikufanya database,mana sipo vzr ktk practical,nikafanya ya networking. Nachotaka kukuambia ni kuwa,km hiyo post uliyochagiliwa ipo ndani ya profession yako,we ibuka kapige hiyo interview. Kama sio basi fanya nao mawasiliano,wakikataa kukubadilisha achana nao. Mana jamaa interview zao zipo ki-profession zaidi..