Hawa vidingi si wangekuwa wantafutana wenyewe kiaina coz miaka 10 ya uzoefu, hapo si uzee unakunyemlea.
mfano: kwenye kazi walizotangaza kuna jamaa yangu ana : "bachelor of education policy, planning & management" lakini uzoefu ndo unakaba penati, mpaka kafikia hatua ya kufanya kazi nyingine tu mbadala nje ya alichosomea,
jamani wajiri muwaangalie vijana hawa kwa jicho lenye huruma na mwisho wa maombi hayo wawahurumie vijana hao kwani wanua vipaji vya vijana wetu kwa kigezo cha uzoefu.