Utumishi Halmashauri ya wilaya Lushoto ni jipu

Tatizo ni kuyopewa salary slip. Onana na Mkurugenzi wa Halmashauri. Ni vema ukafafanua namna mnavyonyanyaswa ili ujumbe ufike na wahusika wachukue hatua
 
  • Thanks
Reactions: 365
kuna mwalimu apo hapokei mshara huu mwaka wa 3 lakini salary slip zake zinatua kila uchwao....hilo la kukopa benki ni jipya sijawahi lisikia ao jamaa wamezidi ubunifu wa ubadhirifu
 
Wakurugenzi na utumishi ni wale wale wa serikali ya awamu ya nne. Wana mifanano kimawazo na walipata vyeo kwa dili. Muone mkuu wa wilaya yako au nenda TALGWU
 
Inaonekana una mashaka na watu waliopo huko. Tupe jina lake tutafuatilia na kuhakikisha ana pata salary slip yake.
 
Back
Top Bottom