Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,781
- 32,608
Ebwana wanaJF Mzuka!
Athar za Utumbuaj majip umevuka bahar na kuleta kilio had huk mamton.
Nimepata nyepes kwa msela flan. Kuna dogo mmoja flan hapa alikuwa na ngebe nyodo majigambo majivuno na dharahu kwa kibur cha hela ya mding wake bongo. Wadau wamezinyaka nyepes kutoka kwa wala vumb kuwa mshua Magu kamtumbua na kukata mrija wa hela.
Dogo alikuwa anatisha alikuja kama mwanafunz. Kamwe hajawah kubeba boks kwasabab mkwanja wa maana alitumiwa kila mara kutoka bongo na mshua wake tena anapohitaj. Matumiz yake ya hela yalikuwa ya juu mno.
Hata wenyej (wadeni) walimuogopa na kumuheshim bcoz of his extravagant lifestyle. Hata mtihan shulen alilipa watu wamfanyie. Kodi ya pango alilipiwa na wazaz bongo. Mavaz yake si chin ya lak mbil na nus za bongo. Mguu (kiat)tu aliovaa mshahara wa mtumish bongo. Kuna jamaa flan aliniambia Kuna waqat dogo alispend kama euro 1200 kwa viat tu ujeruman.
Wabeba boks hapa kama tu wala vumb homu maana tabia zet ni zilezile popote tulipo dunian (genetic) wivu chuki hila ghilba majungu na ushirikina wamechunguza na kujua dogo hal mbaya anapumulia ges maana mbongo hata ukijifungia ndan atajua tu unaishije hata ukiwa msir namna gan ni kipaj cha aina yake. Sasa imekuwa gumzo kumcheka na kumkejel kwenye vijiwe vya umbea. Dogo naskia haonekan kajificha aibu.
Inahuzunisha. Kupigwa tafu na jek na wazaz homu siyo mbaya kama wanauwezo lakin si mara zote tu. Wazaz matajir bongo wanawalemaza sana watoto wao. Dogo asife moyo dawa moja tu aondoe mshipa wa aib ashike fagio ama vyombo laif itakuwa easy.
Ila Magu kaleta kilio kwa weng