emaga Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15 Reaction score 20 Nov 30, 2023 #1 Unahisi kwanini sikuizi watu wengi wamekuwa wakisherehekea mwenzao akifedheheshwa mtandaoni na mara zote watu wakiwa upande wa kumdhihaki yule anae chafuliwa?
Unahisi kwanini sikuizi watu wengi wamekuwa wakisherehekea mwenzao akifedheheshwa mtandaoni na mara zote watu wakiwa upande wa kumdhihaki yule anae chafuliwa?
Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,030 Reaction score 40,094 Nov 30, 2023 #2 Roho mbaya tu .
BWANA WANGU JF-Expert Member Joined Jul 10, 2018 Posts 365 Reaction score 850 Dec 1, 2023 #3 Watu awapendi kuwa wema ila wana enjoy kuona watu wakifanya mema Ujaelewa soma tena. Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Watu awapendi kuwa wema ila wana enjoy kuona watu wakifanya mema Ujaelewa soma tena. Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app