Uhuni mkubwa sana unafanywa na UTPC, Taasisi ya UTPC imefanywa mali ya Mkurugenzi na watumishi wake hapo Dodoma na sio Taasisi ya Wanachama ambao ni Clubs za waandishi wa Habari mikoani.
Hii ni fedheha kwa UTPC kuifanya taasisi kuwa chanzo kikubwa Cha uchumi wao tu mkurugenzi na watu wake. Tunaona wanalipana mishahara mikubwa na kuishi maisha ya gharama ya juu na hususani matumizi mabaya ya fedha kwa masirahi yao.
Suala hili, serikali na wahisani wanapaswa kuingilia kati.