Utoto raha ukubwa karaha

Afadhali hawa kuliko wale waliokuwa wanamtesa mtoto wa kike kwa mateke na matusi juu
 
Haya JKT.com imerudi, tuone kama uzalendo nao utarudi
 
Afadhali hawa kuliko wale waliokuwa wanamtesa mtoto wa kike kwa mateke na matusi juu

Wale wanapaswa kuchukuliwa hatua kali za kisheria

Pamoja na hizo shuruba, siipendi kazi ya ujeda ila huwa natamani nipitie japo mwezi mmoja tu niendelee na mambo yangu, tatizo siku hizi wajeda wenyewe kwenye mafunzo hawatoi mafunzo tena ila ni Kandahar, afadhali uende Guantanamo!
 
Wanafanya kama wanakomoa vile wallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…