kwamtoro JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 4,922 Reaction score 3,245 Mar 30, 2013 #1 Natamani nirudi utotoni. Sijui bili ya maji, umeme. Nachojua mimi ni kucheza na kula tu.
milioni milioni JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 1,845 Reaction score 1,066 Mar 30, 2013 #2 Nimeupenda huo ubunifu,utoto raha
kisu JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 1,091 Reaction score 514 Mar 30, 2013 #3 Bajaji safi sana!
K Kumbozi Member Joined Oct 13, 2012 Posts 38 Reaction score 9 Mar 30, 2013 #4 ila watoto wa dot com hawajui hiki
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 56,026 Reaction score 56,109 Mar 30, 2013 #5 Hapo bado hujaangushwa
L Lyagwa JF-Expert Member Joined Feb 3, 2013 Posts 1,824 Reaction score 1,167 Mar 30, 2013 #6 Kuna imani kuwa baada ya kufa kuna kurudi tena kwa njia ya kuzaliwa upya na hivyo kufaidi hiyo raha ya utoto tena na tena
Kuna imani kuwa baada ya kufa kuna kurudi tena kwa njia ya kuzaliwa upya na hivyo kufaidi hiyo raha ya utoto tena na tena
N ng`wana ong`wa kulwa JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 2,420 Reaction score 1,755 Nov 18, 2014 #7 Watoto wa Africa ni furaha siku zote