Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,611
- 4,539
Wewe tenah 😂Toka niajiriwe ex zangu simu na sms haziishi
Naunga mkono hoja
Wanasema et wao wanaishi popote ilimrad tunapendanaWewe tenah 😂
Yeah apo n mikazo tuWanasema et wao wanaishi popote ilimrad tunapendana
Lakini nmesema sidanganyiki mpaka nifike uko singida
Soma kwa makini utaelewa point yanguHakuna fundi wa maisha,kuna kijana anafamikiwa na miaka 15 huyo utamzungumziaje?
Kuna tofauti ya kufanikiwa na kurithi maliHakuna fundi wa maisha,kuna kijana anafamikiwa na miaka 15 huyo utamzungumziaje?
Age nzuri ya kuona mtoto wa kiume n miaka 30Kuna siku humu mtu kasema anamiaka 26 na kitu kinachomuumiza ni kuchelewa kuoa alipaswa kuoa akiwa na miaka 20??? 😳😳
Ukifiisha mkaka 40 ndio utajua, wwngjne wanakuja wenyewe nyumbani kwako, ukiwambia nikusindikize urudi nyumbani anakwambia haina haja hata akilala hakuna tatizoToka niajiriwe ex zangu simu na sms haziishi
Naunga mkono hoja
Na unatakiwa kuoa binti wa miaka 18-22. Kama ni agemate wako basi muwe mlianza mahusiano yenu tangu shule, wa kukutana nao mtaani sio poa.Age nzuri ya kuona mtoto wa kiume n miaka 30
KabisaNa unatakiwa kuoa binti wa miaka 18-22. Kama ni agemate wako basi muwe mlianza mahusiano yenu tangu shule, wa kukutana nao mtaani sio poa.
Miaka 30 mwanamke amebeba mambo mengi sana moyoni. Sex life yake ikiwekwa wazi hakuna mwanaume atakaweza hata kumsogelea tu
Maisha ya draft sioMboga 7 hawawezi kukuelewa.