Poleni na majukumu. jamani anaeweza kuniambia u tofauti kati ya mita ya biashara na ya nyumbani ya maji kwenye upande wa malipo wa uniti za maji.au hamna utofauti .
Watakuchaji nyingi kwanza sidhani kama inaruhusiwa kuuza haya ya dawasa labda maji ya kisima chako ulichochimba na kama ni kisima chako kuna mita zinauzwa madukani kama mteja unampelekea maji kwake hiyo mita ndii unamfungia haiusiani na ile ya dawasa