Utofauti wa malipo kwenye from za jengo la ccm manyoni unatokana na nini?

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Kwanini fremu za maduka katika majengo ya CCM jengo la CCM wilaya ya manyoni mjini, inalipwa tofauti? Kuna mtu analipa 30000,50000,70000, 120000, na 150000 mbaya zaidi frem hizi zilimilikiwa na wababe toka miaka ya nyuma, lkn mpka Sasa wao hawaendeshi biashara yyte lakin wenyewe wamegeuka kuwa ma -landlord , wanawalipisha pesa ndefu wananchi wanyonge na vitisho kubao,

In maana viongozi hamjui hili?
Au ndio soko huria?
 
Acha umbeya,kama kodi imekushinda katafute fremu sehemu nyingine,lakini sio kuja kuleta maneno yako ya kichochezi humu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom