Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,185
- 3,547
Yes kama vyeti vyako vina shida katika majina vifanyie kazi haraka sana hakikisha vitu kama deed Pol au affidavity unakuwa navyo mapemaHerufi moja tu?
Hatari sana!
Aisee na mimi nina shida hiyo vyeti vya shule na kuzaliwa ni Fikili ila nida wakandika Fikiri,,,,, tatizo tayari hili.Yes kama vyeti vyako vina shida katika majina vifanyie kazi haraka sana hakikisha vitu kama deed Pol au affidavity unakuwa navyo mapema
Kwa mfano mshikaji wangu aliekosa kazi anaitwa jumanne Rashidi cheti cha kuzaliwa ila kitambulisho cha nida ni jumanne Rashid yaani ile herufi i kukosekana imempa shida
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Labda nijaribu kukujibu nilivomwelewa mimi.Mtu aliandikishwa jina kwenye cheti cha kuzaliwa kuwa Clara Maria Evodia Baba yake anaitwa John Elisante Marealle. Shuleni wakaamua ku drop Evodia, na Elisante na akaitwa Clara Maria John Marealle. Una maanisha majina yote hayo yanapaswa yawepo?
Hizo nenda mahakamani mimi nilikosewa majina mpaka sasa ,natumia kimeo .Aisee na mimi nina shida hiyo vyeti vya shule na kuzaliwa ni Fikili ila nida wakandika Fikiri,,,,, tatizo tayari hili.
Kuna dogo mmoja anasema yeye jina zima lina utofauti na cheti cha kuzaliwa ameambiwa hatua inayofuata akatangaze gazeti la serikali na gharama elfu 20,,,so serious !!!
Hyo deed pol au affidavity naipataje/wapi ? Mkuu!?
Process zipoje ?
Yupo sawa kama lake na baba ake yapo sawa na la ukoo lipo hilo Marealle haina shida sio lazima kuweka la babu.Mtu aliandikishwa jina kwenye cheti cha kuzaliwa kuwa Clara Maria Evodia Baba yake anaitwa John Elisante Marealle. Shuleni wakaamua ku drop Evodia, na Elisante na akaitwa Clara Maria John Marealle. Una maanisha majina yote hayo yanapaswa yawepo?
Kuna jamaa kanambia nende NIDA makao makuu, na barua ya kuomba kubadilisha halafu niambatanishe na vyeti vya shule na cha kuzaliwa wao nida ndo watanibadilishia.Hizo nenda mahakamani mimi nilikosewa majina mpaka sasa ,natumia kimeo .
Nilienda pale mahakama ya Magomeni usalama nikampa kama 20k fasta nusu saaa nikapata hati ndo naitumia mpaka leo kuambatanisha na vyeti vyangu ni kitambo sana.
Sawa NIDA lakini mfano mimi ilikuwa majanga sana🤣🤣Kuna jamaa kanambia nende NIDA makao makuu, na barua ya kuomba kubadilisha halafu niambatanishe na vyeti vya shule na cha kuzaliwa wao nida ndo watanibadilishia.
Mimi nilikua makini sana kwenye Hilo la kwanza na nilikua nahakikisha haliandikwi tofauti kabisa kama Hilo la pili au la tatu na nashkur Mungu nlifanikiwa na yapo sawa kwenye vyeti vyote.Sawa NIDA lakini mfano mimi ilikuwa majanga sana🤣🤣
Cheti za kuzaliwa jina limekosewa, kadi ya kura ipo tofauti ,Cheti za form four &six vipo tofauti kabisa.
Majina ni hivi : Mohamed, Mohammed,Mohamedi unaweza kucheka🤣🤣🤣ila la baba na ukoo lipo sawa
Ilikuwa ishu ya NIDA bado ila ishu ya Nida nilikuwa makini sana kujaza details niliwaletea tabu sana..
Sawa NIDA lakini mfano mimi ilikuwa majanga sana
Cheti za kuzaliwa jina limekosewa, kadi ya kura ipo tofauti ,Cheti za form four &six vipo tofauti kabisa.
Majina ni hivi : Mohamed, Mohammed,Mohamedi unaweza kuchekaila la baba na ukoo lipo sawa
Ilikuwa ishu ya NIDA bado ila ishu ya Nida nilikuwa makini sana kujaza details niliwaletea tabu sana..
Hapa ulishtuka kishujaa kumuandikia.Mimi nilikua makini sana kwenye Hilo la kwanza na nilikua nahakikisha haliandikwi tofauti kabisa kama Hilo la pili au la tatu na nashkur Mungu nlifanikiwa na yapo sawa kwenye vyeti vyote.
Nilikua nikiona anataka nimtajie namwambia ngoja nikuandikie mwenyewe linavyoandikwa.
Sidhani kama ni kweli cheti ya kuzaliwa haina uhusiano wowote na ajira jombaaa,hakuna sehemu utaenda utaombwa cheti ya kuzaliwa ila NIDA fresh,eti mtu anaenda chukua barua ya ajira aombwe cheti ya kuzaliwa?? Hii haijawahi tokea suppose hiyo barua ingekuja kwa njia ya posta nani angekuomba hiyo cheti ya kuzaliwa??Labda nijaribu kukujibu nilivomwelewa mimi.
Issue ni kwamba vyovyote vile majina yalivyo INATAKIWA YAFANANE CHETI CHA KUZALIWA YAWE KAMA YALIVYO KWENYE NIDA NA VYETI VYA SHULE.
Mfn: Jina cheti cha kuzaliwa A B C
Jina NIDA A B C
Jina vyeti vya shule A B C
sio vinginevyo, issue ni majina yafanane kama ilivyo kwenye kila cheti cha kuzaliwa,nida na shule.
Hapa tunazungumzia GOVERNMENT mkuu, kuhusu taasisi binafsi hawanaga hizo!Sidhani kama ni kweli cheti ya kuzaliwa haina uhusiano wowote na ajira jombaaa,hakuna sehemu utaenda utaombwa cheti ya kuzaliwa ila NIDA fresh,eti mtu anaenda chukua barua ya ajira aombwe cheti ya kuzaliwa?? Hii haijawahi tokea suppose hiyo barua ingekuja kwa njia ya posta nani angekuomba hiyo cheti ya kuzaliwa??
NIDA wana Makao Makuu kumbe!!?Kuna jamaa kanambia nende NIDA makao makuu, na barua ya kuomba kubadilisha halafu niambatanishe na vyeti vya shule na cha kuzaliwa wao nida ndo watanibadilishia.
Hayo waliyo mfanyia ni roho mbaya iliyo pita kiasi,watu wanatumbua kabisa miaka ya nyuma teknolojia yetu ilivyo kuwa na hata wataalamu wetu walivyo kuwa,yani,kitendo cha kukosea herufi ni kugusa tu.Hili jambo watu wengi hulichukulia ni la kawaida ila limeumiza watu wengi sana wengine hubakia kutoa machozi
Mwaka 2019 kuna jamaa yangu aliitwa kazini baada ya kufaulu usahili wa utumishi aende kuchukua barua ya kuanza kazi akiwa na vyeti vyake halisi akiwa na documents zake zote jamaa alokwenda na vyeti vyote ila katika ukaguzi walivyogundua herufi moja imekosewa kwene kitambulisho cha Nida tofauti na cheti cha kuzaliwa akazinguliwa yaani hata alipoulizwa kuhusu affidavity au Deadpool hakuwa navyo finally aliondolewa nafasi yake akapewa mtu mwingine japo alijaribu kubembeleza lile swala analifanyia kazi lakini wapiiii
Hivyo basi wenye majina yenye utata fanyieni kazi hili jambo mtakuja kunishukuru
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Kuna taasisi isiyokuwa na makao makuu chief?NIDA wana Makao Makuu kumbe!!?