Hivi punde JF-Expert Member Joined Apr 1, 2017 Posts 2,554 Reaction score 8,627 May 1, 2018 #1 Wingi wa sherehe za kitaifa hasa zinazoalika viongozi wakuu wa kitaifa huwa zina mambo mengi sana. Usafiri vyakula malazi na maandalizi hugharimu pesa nyingi sana. Angalia tu msururu wa magari ya viongozi. Tupunguze masherehe
Wingi wa sherehe za kitaifa hasa zinazoalika viongozi wakuu wa kitaifa huwa zina mambo mengi sana. Usafiri vyakula malazi na maandalizi hugharimu pesa nyingi sana. Angalia tu msururu wa magari ya viongozi. Tupunguze masherehe
Y Young Gwahe Member Joined Sep 3, 2017 Posts 53 Reaction score 164 May 1, 2018 #2 HIVI NA UMASKINI HUU TULIO NAO SHEREHE ZA NINI? TUNASHEREHEKEA NINI HASA?? NONSENSE!!!!!!