Utitiri wa kodi Tanzania

Utitiri wa kodi Tanzania

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Leo Mhe.Rais umeongea na Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Watendaji wa TRA kuhusu ukusanyaji wa mapato ya Serikali. Tunajua ni wajibu wa wanchi kulipa kodi ili tujenge nchi yetu.

Kama alivyosema ni vyema kuwa na walipa kodi wengi na wanaotozwa viwango vinavyokubalika. Amesema idadi ya watu hapa nchini ni watu 55m lakini walipa kodi ni 2m.

Hii ni aibu kubwa. Kodi kubwa wanayotozwa wafanyabiashara hapa nchini inawafanya wakajifche na kufanya biashara za magendo. Pili utitiri wa kodi kwa wafanyabiashara imekuwa tatizo na kero. Nichukue mfano wa malipo ya guest house.

(1) Kodi ya mapato 1,200,000
(2) Ada ya leseni 130,000
(3) Hotel levy 1,000,000 kwa mwaka
(4) TFDA 100,000 (5) Ada ya Bwana Afya 100,000
(6) Ada ya kupima wafanyakazi 5,000
(7) Ada ya mwenge 50,000 kila mwenge unapopita.
(8) EFD 800,000.

Kwa ufahamisho siku hizi wateja wa kulala hawapo kabisa lakini mamlaka hizi za kodi hawana habari na hiyo kauli mbiu yao ni HAPA KAZI TU.

Kodi kama Hotel levy sioni maana ya kuwepo wakati wanalipa kodi zote hizo. Mwisho Serikali iweke kodi ambayo siyo ya makdirio ili kutotoa mwanya wa rushwa kwa wakadiriaji.

Wafanyabiashara wengi ni waoga na wanatishwa kwanza na wakadiriaji ili walainike na baadaye wanatoa rushwa pasipokuelewa. Kila huduma iwe na kodi inayoeleweka mfano container ya 40ft kodi yake ni kiasi fulani.

Mfumo wa ukadiriaji unaendekeza rushwa na umeitwa na wakati..
 
Chanzo kimoja cha kodi aina nyingi za kodi,kubuni aina mpya za kodi kwenye vyanzo vilevile
 
hapa umenena ukweli mtupu, hakuna kitu kinaniudhi Kama ku bargain kodi, hii humfanya afisa kuwa mungu mtu, kwanini kusiwe na mfumo currently?
 
Hapo 70% ya wateja ni wazinzi na bado muroto anapitisha msako wa machangudoa. Yaani tangu kamatakamata ya machangu ianze kuna guest zinalala bila hata mteja mmoja
 
hapa umenena ukweli mtupu, hakuna kitu kinaniudhi Kama ku bargain kodi, hii humfanya afisa kuwa mungu mtu, kwanini kusiwe na mfumo currently?
Ukweli mfanyabiashara wa TZ ni wale walioshindwa shule waliofukuzwa kazi nyumba ndogo na wastaafu hapo unategemea nini?
 
Tudai uwazi katika kanuni ukokotoaji kodi,mfano walivyofanya katika magari. Haiwezekani kodi container ikawa flat rate,container parts za magari,huwezi linganisha na vigae,mitumba nk.
 
Back
Top Bottom