HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,448
- 6,211
Sasa mkuu umepima ukathibitishiwa ni UTI!?Naombeni msaada ni dawa ipi nitumie kutibu UTI maana maranyingi nasikia maumivu ya kiuno lakini Sasa naona naanza kutoa usaha kwenye uume halafu Kama nakojoa mkojo unatoka kwa shida na kwamaaumivu Sana naombeni msaada
Nani alikudanganya hiyo ni UTI? Nenda hospitali dogo mgegedo utakatika huo.Naombeni msaada ni dawa ipi nitumie kutibu UTI maana maranyingi nasikia maumivu ya kiuno lakini Sasa naona naanza kutoa usaha kwenye uume halafu Kama nakojoa mkojo unatoka kwa shida na kwamaaumivu Sana naombeni msaada
Sio UTI hiyo.... Wewe una ugonjwa mwingine wa ngono.... Nenda hospitali haraka ukachukue vipimo......Naombeni msaada ni dawa ipi nitumie kutibu UTI maana maranyingi nasikia maumivu ya kiuno lakini Sasa naona naanza kutoa usaha kwenye uume halafu Kama nakojoa mkojo unatoka kwa shida na kwamaaumivu Sana naombeni msaada
Pole Kwa maradhi yako ya UTI inayo kusababisha maradhi zina aka gono kwa dawa za hospitali huwezi kupona kwa dawa za asili unaweza kupona zipo dawa za asili za kukuponyesha maradhi yako ya UTI na kutoka usaha.Naombeni msaada ni dawa ipi nitumie kutibu UTI maana maranyingi nasikia maumivu ya kiuno lakini Sasa naona naanza kutoa usaha kwenye uume halafu Kama nakojoa mkojo unatoka kwa shida na kwamaaumivu Sana naombeni msaada
Yapi hayo chiefPole Kwa maradhi yako ya UTI inayo kusababisha maradhi zina aka gono kwa dawa za hospitali huwezi kupona kwa dawa za asili unaweza kupona zipo dawa za asili za kukuponyesha maradhi yako ya UTI na kutoka usaha.
Sio U T I iyo ,uku kwetu tunaita gonoriaNaombeni msaada ni dawa ipi nitumie kutibu UTI maana maranyingi nasikia maumivu ya kiuno lakini Sasa naona naanza kutoa usaha kwenye uume halafu Kama nakojoa mkojo unatoka kwa shida na kwamaaumivu Sana naombeni msaada