Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,611
AsanteAndiko zuri. Subiri watoke kule KULA TUNDA KIMASIHARA waje huku
Ni muhimu zaidi kufanya utafiti wa biashara yako ambayo unatamani kufanya sokoni kupoje, mfano biashara ya nguo kwa Dar big no ukiweka duka Sinza watu wa Sinza wananunua bidhaa kwa majina so kwako itakuchelewesha kufaidika.Mkuu
nimejifunza kitu hapo.
ngoja nitulie nijifunze zaidi kutoka kwa wenye uthubutu na ujasiri wa kuwekeza
Lakini unaweza ukawa na Mungu ila usiwe na maarifa unalijua ilo?Mafanikio yanahitaji watu na Mungu wako
Kwa kweli mkuu nikisomaga nyuzi humu napataga motivation sana.Ni muhimu zaidi kufanya utafiti wa biashara yako ambayo unatamani kufanya sokoni kupoje, mfano biashara ya nguo kwa Dar big no ukiweka duka Sinza watu wa Sinza wananunua bidhaa kwa majina so kwako itakuchelewesha kufaidika.
Fwatilia aukaa nao karibu watu ambao wanfanya hiyo biasharaKwa kweli mkuu nikisomaga nyuzi humu napataga motivation sana.
tuseme nataka kufanya investment kwenye biashara ambayo nakosa hata mtu wakunipa experience ya namna ya ku run hiyo biashara.
Tatizo linakuja hapo!Fwatilia aukaa nao karibu watu ambao wanfanya hiyo biashara
✊🏻✊🏻Ni muhimu zaidi kufanya utafiti wa biashara yako ambayo unatamani kufanya sokoni kupoje, mfano biashara ya nguo kwa Dar big no ukiweka duka Sinza watu wa Sinza wananunua bidhaa kwa majina so kwako itakuchelewesha kufaidika.
Kwa kweli mkuu nikisomaga nyuzi humu napataga motivation sana.
tuseme nataka kufanya investment kwenye biashara ambayo nakosa hata mtu wakunipa experience ya namna ya ku run hiyo biashara.
barikiwa mkuu .Hakuna biashara ngeni
Kubali kuwa chini.
Ngoja nikupe ushuhuda.
Nilianza biashara ya vinywaji kwa mtaji wa mil 6 (bidhaa)
Ila kweye uwanja nilikutana na ma-giant wenye mtaji mara Kumi na wangu (mil 60)
Katika kuchunguza hao ma-giant niligundua Kuna mmoja ana moyo wa kufunguka (roho safi).
Huyu nilimfanya mshikaji wangu.
Nilianza kwanza kwa kumuungisha, yaani mteja akitaka bidhaa naenda kwake nanunua then nampelekea mteja (kama hiyo bidhaa Mimi sina).
Ghafla yule jamaa akani-note.
Akawa ananipa discount ya Mimi kupata angalau mia 300.
Ila Mimi lengo langu ni kumchimba anipe info.
Kiutani utani nikawa nikienda dukani namtania mara nakua serious ghafla akawa mshkaji.
Alinipa sanaa madini.
Madini yake nikayatumia sanaa.
Kwasasa biashara kubwaa sanaa.
Nina bidhaa (vinywaji vingi sanaa)
Kifupi na Mimi Nina jina sokoni (Liverpool Liqour store).
Ila bila utundu wangu na uelewa wa yule jamaa NISINGEKUWA HAPA.
Sasa hivi na run fasta ila kwa tahadhari.
Nilichojifunza "Wale wakubwaa wotee uliowakuta kwenye game, sio Competitor wako ila ni MENTOR WAKO"
Ukielewa utofauti wa competitor na mentor LAZIMA UTOBOE.
#YNWA
" Unao wakuta kwenye Game sio competitors wako ni Mentors"Hakuna biashara ngeni

Nimekuelewa mkuu ngoja nijitafute na mimiHakuna biashara ngeni