Uthibitisho wa hoja Bungeni?

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2009
Posts
6,157
Reaction score
4,454
Jamani tokea hili bunge lianze nimekuwa nikiona spika, naibu au mwenyekiti, akiwa na kiu kubwa ya kuomba uthibitisho wa jambo fulani hasa lililotamkwa na wabunge wa upinzani. Wabunge wetu wamekuwa wanajitahidi sana kuthibitisha kwasababu kuu mbili moja ni kwamba wasipothibitisha hatua za kinidhamu huchukuliwa dhidi yao na pili wanafanya hivyo ili kuonyesha kwamba wanajua wakifanyacho. Sasa nataka kujua upande wa pili ni hatua gani imewahi kuchukuliwa baada ya kupata uthibitisho?

Kwa mfano Lema aliwahi kuthibitisha uongo wa Waziri mkuu bungeni, waziri mkuu alichukuliwa hatua gani? au kwasasa mwenyekiti anataka uthibitisho toka kwa Tundu Lisu ili aufanyie kazi gani?
 
i 2 am interested in the ansa...
 
a YULE MWENYEKITI WA KIKAO CHA LEO KILAZA KWELI. AMESHAAMBIWA NA TUNDU LISU KUWA ATATHIBITISHA HOJA YAKE KWA MAANDISHI AKANG'ANG'ANIA AUTOE PALE PALE WKT WA KIPINDI CHA MASWALI. PIMBI KWELI.
 

Ikisha thibitishwa basi inawekwa katika kumbukumbu, lakini yoote hiyo hufanywa kwasababu ya kupunguza uropokaji wa hawa wabunge wachanga katika siasa
 
a YULE MWENYEKITI WA KIKAO CHA LEO KILAZA KWELI. AMESHAAMBIWA NA TUNDU LISU KUWA ATATHIBITISHA HOJA YAKE KWA MAANDISHI AKANG'ANG'ANIA AUTOE PALE PALE WKT WA KIPINDI CHA MASWALI. PIMBI KWELI.

Mimi sipo concerned sana na namna ya kuthibitisha nataka kujua matumizi ya uthibitisho baada ya muhusika kufanikiwa kuthibitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…